Mfalme Sulemani anasema kimbia jangwani (Mithali 21:19) au ukae kwenye dari (Mithali 21:9) peke yako. Labda ndivyo alivyoishia yeye na wanawake zake 1,000. Ukitaka ushauri wa mwenye wake wengi...
SINGLE Lady Acheni Kukata Tamaa.
Wanaume wanaowajibika ni wengi. Kuna mwanaume anakutafuta, je uko tayari kwa ajili yake?
Unaweza kukamilisha mpango wako mwaka huu!
Wanaume wapo wengi kuliko...
Kisa cha mchezaji wa PSG Achraf Hakimi kuandikisha mali zake kwa jina la mama yake halafu mkewe kuambulia patupu mara baada ya kuachana kimewafanya wanaume wengi kupata muamko wa kutaka kuiga hiyo...
Habari wakuu.
Kama kichwa cha uzi kilivyojieleza hapo juu. Kuna hii kasumba mtu anakuuliza (hasa kwa wanaume) vipi umeoa? Ukijibu hapana atakuuliza tena, ila ushapata mtoto?
Je, ni sawa mtu...
Ni asubuhi njema!
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, maadili ya kiafrika ndiyo yaliyotulea na kutufikisha hapa tulipo.
Kuna mitazamo mbali mbali ambayo si rasmi kwa baadhi ya wanajamii kuhusiana...
Majini wakiwa kama viumbe hai nao hutamani kuwa na mke au Mume wa kibinadamu
Hali hii hupelekea kutafuta ampendaye katika wanadamu na kufunga nae ndoa hata bila binadamu huyo kupenda.
Na hizi ni...
Za mchana
Jamani leo natoa pongezi kwa Wanaume watanashati na utanashati huo unakuja kujidhihirisha ndani yani unakuta tango na sio bamia
Ila ninyi watanashati wazuri yaani halafu ndani ziro...
Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko...
I just want to know the reality of life, is it true all men cheat?
I have ended my long relationship because of cheating.I cant tolerate continuing with a person after i found evidence he has...
Hello,
Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja...
Salaam.
Kuna wakati mwanamke unaona mwanaume wako unayempenda na kumuheshimu hakupendi wala kukuthamini kama ilivyokuwa mwanzo/kabadilika. Na hali hii inawaletea stress wanawake wengi.
Wapo...
Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine.
Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa...
Habari wadau.
Wengi tumeona trend kubwa mtandaoni ya divorce ya mcheza mpira Hakimi.
Nimekumbuka story ya Marehemu Bilionea Msuya wa Arusha.
Mali zake alizoacha zimesababisha dada yake...
Habari zenu!!!
Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious.
Awe anaishi Dar es Salaam
Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote.
Umri kuanzia miaka...
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje...
Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh.
Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na...
Hello JF,
Nimepata kamanzi kamoja Nyerere square hapa Dodoma kanyiramba khaaa mashauzi kama yote kubinua midomo kama antena za chadema, nimewaza niende nae Royal village ila sio kwa ule ushamba...
Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji...
Habari, ni matumaini yangu mko poa, kwa nia ya dhati kabisa nakuja kwenu kumtafuta mchumba ambaye tukiridhiana tufike hatua ya ndoa.
Mimi ni mkristo nampenda Yesu
Level ya elimu Diploma
Nina...
Salaam wakuu!
Mimi kama mwanaume natoa haya....
Wanaume wa siku hizi baadhi yao ni kwamba tunafail sana yaani, Ona hizi kero.
Wanaume wengi ndani ya ndoa hawatoi mahitaji, wanaachia wakina mama...