Huwa napiga mtungi, wifi yenu ana mdogo ake 33yrs umri wake, asa sijui wakati wa mchenetu jamaa anakuwa katika hali gani, maana sielewi kwa umri huo lazima kichupa kinajaa sana
Wakuu,
Kua uyaone na si magari wala maghorofa.katika familia nyingi za kiafrika wanaume wengi wanalea watoto ambao sio wao,na kiukweli hawalijui hilo,wanawake wengi wanapewa ujauzito nje ya ndoa...
Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha...
Ni wizi huu wa sehemu nyeti kwa njia za kishirikina uliokuwa maarufu Congo na sasa umeingia Tanzania,
Wizi huu unaripotiwa na wahanga pale mtu mnapokutana akikushika mkono au kukupiga begani huku...
Jamani kuna binti alikua mpenzi wangu sasa kuna siku nilienda kwake nikafanya yaliyonipeleka nilikua nimevaa boxer mbili moja kama bukta zile za juu na ya ndani ya polyester ya kubana
Sasa ile...
Habarini jamvini?
Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi...
Katika mazingira ya kazi za umma, mara nyingi kuna mifumo iliyowekwa inayosaidia kudhibiti mamlaka ya viongozi na kuhakikisha uwiano wa heshima na uwajibikaji. Ni nadra kukuta kiongozi akitumia...
Salaam jamiiforum forum.
Kwa wakristo wenzangu , hususan Roman katoliki,Leo ni Alhamisi kuu,
Ni bado saa chache tu mkombozi wetu aanze kupitia maumivu.
Kwani tayari Yuda ana Vipande thelathini...
Habari za wakati huu wakubwa.
Jamani nimenasa kwenye penzi na Mmama mmoja mtu mzima.Japo siyo mara yangu ya kwanza ku date na hawa viumbe wakubwa , lakini kwa huyu daah.
Jinsi...
Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ...
Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta...
Katika kizazi tulichopo ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kwanza original deal of marriage ilikua ni mwanamke bikira na mtiifu kwa mabadilishano ya lifetime protection na provision kutoka...
Mke wangu nimeishi naye wastani wa miaka 4 sasa alikuwa mnyenyekevu, mpole, si muongeaji sana hata akiwa na wenzie, heshima kwangu ni miongon mwa vitu nilijivunia kuishi naye, kuniskiliza na...
sijajua imekua trend au ndio ulofa wa zama hizi, mtoto wa kiume una toa wapi nguvu ya kulala na kukoroma ukweni?
Sifa ya mwanaume ni kupambana uwe na himaya yako, hata kama umepanga still ni...
Niaje wakuu, maisha yanaendaje pande hizo?
Wanasema hata ukiwa kiboko kuna mahali utazidiwa, hebu leo tuzungumzie nyakati ngumu tulizowahi kupitia ambazo zilikufanya useme au ujue hali si hali.
Ipo hivi, mwezi wa 10 mwaka jana nilitembelewa na mwanadada mmoja mzuri wa Kichaga ofisini kwangu.
Nikamuhudumia vizuri na nikampa namba kwa lengo la kunipigia tena pindi atakapotaka huduma...
Kila kukicha sifa ya ndoa au mahusiano inazidi, ikipata sifa mbaya vijana wengi wana wasiwasi kuanzisha familia Maana saiv n majanga juu ya majanga
Watu kuuana ndio umekuwa mtindo, upendo haupo...
Wakuu kwema ? Hope mko salama kabisa
Mimi Nina kisa changu ambacho kinanitesa saana tena sana kila nikikumbuka najitahidi kusahau baada ya mda Hali inarudi upyaa.
Nilikua na mpenzi wangu alikua...
KWA WANANDOA
Vipo Vitu Vingi Sana Vinavyowaunganisha Wanandoa, kama Kazi | Biashara | Watoto | Ndugu | Maisha ya Kiroho
Ila Binafsi, Najua Kinachowaunganisha Zaidi Wanandoa Maisha yao Yote ni...
Huwa inaanza vizuri tu unapojiwekea msimamo hutaki kuoa ukiwa kwenye 20s lakini joto huanza kupanda ukishafika 35+
Unaanza kupewa taarifa au kupata mialiko kwamba yule mtoto wa mjomba aliekuwa...