Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Imebainishwa kuwa WANAWAKE wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia...
0 Reactions
88 Replies
71K Views
Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi: 1. Umri kuanzia 21 hadi 40 2. Yupo Dar 3. Anajitegemea kimaisha 4. Haijalishi ana mtoto au hana 5. Anahitaji utulivu wa akili na moyo. 6. Ana mawazo chanya ya...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wasalaam, Jamani hii dunia Mungu aliumba watu, nilikuwa na demu wangu huyu demu alikuwa anajua kila kitu ninachotaka kufanya hasa kama nina mpango na demu mwingine, aidhq atajua huyo demu ana...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Asee twende moja kwa moja kwenye mada, Kuna mwanamke mmoja nilikutana naye kipindi fulani, alikua ni cheupe, wale shombe, mtoto haelezeki ukimuona lazima udate. Sasa nikamuelewa japo majirani...
12 Reactions
38 Replies
8K Views
Walianza na wazee "sugar dadies", wakatuon vijan wote kwa kpnd kile hatun maana huku wakiwasifia kua wanajua kuhudumia na wanajali af sio pasua kichwa km hawa wa maji ya moto. Wakaanz kubadilika...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Habarini wapendwa. Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo ananyonya (Mwaka mmoja). Sasa nina...
18 Reactions
204 Replies
12K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Ni kama mara ya tatu au ya nne kwa hizi pisi zimekuwa zikimwaga sifa kuwa the way nawapa kichapo cha mjegeje. Ni vile hawajawahi pata kipigo cha namna hiyo hapo...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Anyaashimikaa (greetings in Korean) Familia bora ninaweza kuitengeneza nje ya kufunga ndoa yaani kuo? Mimi niwe mkweli tu, mpaka umri huu mabinti wengi hasa wa sasa ni makanjanja tu. Sisi...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu salama hapa Hii ndoa yangu ya mbalimbali ina changamoto sana Mimi naishi mkoa flani ambako napiga harakati za hapa na pale na mke wangu yupo mkoa wa jirani ameajiriwa huko Tumefunga ndoa...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Wanaume/vijana wa kiume tumekuwa dhaifu sana kwenye suala la mapenzi. Mwanaume unaenda kukutana na mwanamke kwa mara ya kwanza halafu wewe mwanaume ndo umejawa hofu na wasiwasi kuliko mwanamke...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
NALIA NGWENA sukari ya Cute Wife nasubiri jibu kutoka kwenu wanajamii Forum (kijiwe nongwa) maana Nina Jambo langu. Je ni sahihi kumuhudumia mwanamke (mpenzi) wako anayeishi kwao kwa kila kitu...
0 Reactions
17 Replies
849 Views
Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu. Kuna mwanaume tumpe jina Leki na mwanamke tumpe jina Siah. Leki alikutana na Siah mwaka 2019. Kipindi...
14 Reactions
18 Replies
2K Views
NJIA NYINGINE 10 ZA KUMTAMBUA MWANAMKE ASIYEFAA. 1. Mwanamke ambaye anaweka picha Facebook akiwa nusu uchi, akionyesha yeye Makalio yake, Nk. MWANAMKR HUYO NI MALAYA! JIHADHARI! 2. Mwanamke...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Au pengine hamtaki tena. Kwa kuwa alikua hapati penzi tangu mwaka jana, akipata mpaka aombe sana… Mke wake alikua anamkoromea sana, alikua anakuja juu mno… Alikua anagombana na mke wake kwa vitu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana nimeenda zangu bar moja hapa town, nikiwa pekee yangu nikamwita muhudumu, niletee bia akaleta. Hapo nikiwa kauzu, nikapiga cha tatu mara nakuta anatia huruma nikamwambia chukua unywe...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndoa na Jamii Je, mbona kuna talaka nyingi siku hizi? Sababu ndio hizi, na kuna nyingi zaidi ambazo hazimo katika orodha hii. Wakati huo watu wengi huwa na chaguo la kujiondoa mapema kutoka ndoa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi age 40 nahitaji mke anayejitambua na wenye hekima. Kama hujitambui kaa mbali. ***** Update soma: Nimempata mke mtarajiwa
2 Reactions
90 Replies
5K Views
Huyu binti nampenda sana lakini anatabia ya kuongea uongo sanan kuna muda najipa imani kua ataacha lakini baada ya muda yanajirudia. Shida nyingine hata ukimuuliza ni mgumu ku admit kwamba...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Juzi kati kipindi nagombana na wife kuhusu mambo ya mbususu kiufupi nilikaziwa, kupewa sasa kumbe kipindi tunaongombana na wife, wife kwa mdomo wake mrefu akawa anaongea kwa sauti kiasi kwamba...
13 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…