Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wasalam, Kwa upande wangu nina 30+. Mtoto mmoja, Mwajiriwa na Mkristo. Napatikana nyanda za juu kusini, seriosly nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Uwe mkweli na muwazi. PM iko wazi...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Hello. Jf members.imani yangu mpo salama. Ikiwa kwa imani zetu wote tumewekwa katika sahani moja basi tunamshukuru sana Mungu kwa hilo. Mada mezani safari zetu za mapenzi ni ndefu sana ila kama...
2 Reactions
13 Replies
956 Views
Jinsi ya Kuwa na Mahusiano ya Muda Mrefu na Mbinu za Kufuata Mahusiano ya muda mrefu ni kitu ambacho kila mtu anatamani kuwa nacho. Ni muhimu kutambua kuwa mahusiano ya muda mrefu yanajumuisha...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Wale wanaume wanaopenda kudate wanawake waliowazidi umri wengi wao walikosa mapenzi ya mama zao tangu wakiwa wadogo mpaka wamekua. Kukosa mapenzi ya mama zao kunawafanya watafute wanawake wakubwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wajuvi wa mambo ya mahaba nisaidie Tafadhali maana nimeshaimbisha sana kwa manzi flani lakini naambulia patupu. Ingawa ana viashiria flani Kama vya kunikubali but ninapoimbisha anasema ana mtu...
4 Reactions
95 Replies
5K Views
Ukahaba haujaanza leo duniani ila miaka hii umekuwa kwa kasi sana. Tanzania na Afrika ukahaba kwenye majiji na manispaa wanawake wengi ni makahaba. Nimeishi uswahili Keko, Temeke na maeneo kadhaa...
6 Reactions
68 Replies
12K Views
Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina...
9 Reactions
107 Replies
8K Views
Profesa Yew Kwang Ng wa Chuo Kikuu cha Fudan, Shanghai China ameshauri serikali ifikirie kuruhusu wanawake kuwa na waume wawili au zaidi, ili kutatua tatizo la kukukosekana kwa uwiano wa kati ya...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Awe: ●Dini yoyote ila asiwe na msimamo mkali ●Kabila lolote ●Miaka 31 kushuka chini ●Elimu form 4 na kuendelea ●Kazi yoyote (si lazima) ●Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate...
10 Reactions
89 Replies
5K Views
Nimejifunza sana kuhusu ni njia zipi za kupata mume mke. 1.Kila siku vaa kwa staha, uwe unanukia vizuri, usinuke mdomo, kikwapa 2.Shiriki mikutano ya kidini, mikutano ya nzengo, makongamano ya...
1 Reactions
3 Replies
770 Views
Haya ni mambo kadhaa yanayo mfanya mwanamke thamani yake ishuke katika jamii. 1. Mahari 2. Ndoa 3. Kutegemea mwanaume kumhudumia( wenyewe wanaita kucare) 4. Haki sawa( wenye wanaita 50/50) 5...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Kabla ya kufanya maamuzi ya kuishi na mtoto wa mtu uliza moyo wako na ujiridhishe kwamba unampenda na kisha iulize nafsi yako kuthibitisha kuwa imeridhika kweli kwamba unapendwa na unayempenda...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Natamani kuandika love story yangu ila nitafanya hivyo kipindi kingine. Niliambiwa mambo ya ndani hayasimuliwi ila mwenzenu nimezidiwa, siwezi mwelezea yeyote physical wacha nije JF banah yanini...
60 Reactions
259 Replies
15K Views
Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Ni imani yangu sote tu buheri wa afya. Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Salaam nyingi kwa waiter🤣! Imekuwa ada yaani kama kawaida mikoa yetu maarufu ya kula bata, Dodoma, DSM, Arusha, na Morogoro. Mabaharia tunakawaida ya kutimba viwanja bila hiana bila kelele...
2 Reactions
4 Replies
800 Views
Meatu. Katavi Katika hali isiyo ya kawaida, nyumba ya Seleman Mussa (65), Mkazi wa Kijiji cha Nkoma, wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu, iko hatiani kuuzwa kama fidia ya deni la Sh1.1 milioni...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Aisee ni hatari sana hii nchi! Tukamuulize mama Maria Nyerere kwani ilikuaje inawezekana akawa na majibu ya uhovyo wetu. Tukianza na majina ya mitindo; 1. Kifo cha mende 2. Chuma mboga 3. Mbuzi...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Heshima zenu Wakuu, Kimsingi kuna mwanamke ninadate nae miaka 3 sasa tumeish maisha mengi na hapa katikati tumeachana mara kadhaa na kurudiana. Kiukwel yeye anaonesha kunipenda na mimi pia...
11 Reactions
78 Replies
4K Views
SHIKAMOO Wabongo! Basi last month nimekaa zangu buzy na simu, nipo zangu Kibo Complex nachat chat na nini buzy na simu yangu Mara mtu akadondoka inbobo, Oh! DADA Penny naomba msaada wako...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nilikuwa naongea na bwashee mmoja WhatsApp baada ya kuletewa Uzi na shogangu WA Yule binti alieng'atwa na mbwa😂😂 Nikamwuliza bwashee kwanini wanaume wengi sikuhizi hampendi kuzama chumvini...
19 Reactions
868 Replies
101K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…