Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kutokana na ugumu wa maisha niliyonayo na kwa kwa kujua kuwa wanawake wanaweza,niko tayari kuolewa.Aliye serious ani pm
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wasomaji wa sehemu hii, nimekuwa nikifuatilia sana na kwa muda mrefu, HIVI NI KWA NINI WANAUME tulio wengi tumekuwa tukishinikizwa kuwa na mahusiano na wasichana wasiokuwa kwenye ndoa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
nahitaji msichana mwenye vigezo vifuatavyo 1.awe mcristo, kama ni dini nyingine akubali kubadili dini 2.asiwe mnene,awe mrefu,rangi sio issue sana ila mweupe atapewa kipaumbele 3.elimu kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mi cna Mengi sana ila muhimu kwangu ni hili. Nahitaji kupenda na pia nahitaji kupendwa. Nina umri wa miaka 26. Ninaishi Geita mkabala GGM maeneo ya bomani nahitaji msichana/binti mwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 24 so kutokana na ubize wa kaz ninayo fanya cna muda hata wa kutafuta girlfriend wa kunifariji na kunishauli so ma aim ni kuangalia ndani ya jf kama yupo bac...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau hata iweje ni zaidi ya nusu mnaosoma hapa mmewahi kutengeneza kachumbari, ni vigumu sana kuimaliza kuitengeneza bila kuionja zen ukaiweka mezan kuisubirisha msosi, nini namaanisha sasa? mimi...
1 Reactions
51 Replies
10K Views
mdada yeyote aliye mpweke kama mimi na ana feel like anahitaji kampani..ya..milele..anaweza..kuni.pm..koz..naamini..mapenzi..popote..naamini..hata..humu..ntapata..my..mrs. right..jus pm...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Mimi jina langu naitwa John na natafuta rafiki atakayekuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kimapenzi kwa jinsi muda unavyokwenda na jinsi mambo yenyewe yatakavyokuwa. Sijielezi saana maana ntaondoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mtu mzima yamenikuta, kuna wifi yenu na shemu wenu nilikuwa na bifu nae kidogo na ye ndio mkosaji, sasa baada ya wiki kuja kum'bamba na kuhold sim yake nmekuta anachat na mshkaji, ila...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
natafuta mchumba wa kuwa nae,pia awe mke wangu,masharti awe ananizidi umri miaka 25-40 na pia awe na elimu,mimi pia ni mtu msomi,pia awe na ajira.. Nipo mkoani kagera,bukoba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Homeless man who returned engagement ring reunites with familyBy Claudine Zap Claudine Zap Posts Email By Claudine Zap | The Lookout – 15 hrs ago Email Share2960 Share10 Print...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Natafta mwanaume wakunipa hela yaani hali yangu ya kiuchumi ni mbaya sana nadaiwa 2m nlikopa for bzness,mtu ajitolee bac aokoe jahazi,mbarikiwe
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Nipo hapa k'lala_geita! Ninamiaka 22! Natafuta grlfrnd anayeish geita,niPM au nipigie 0759 947 397.I'm serious
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tuwasiliane 0763004203 au 0658004203 nipo dar awe na shughuli yake umri wangu 38-43 umri aujalishi sana bora maelewano awena watoto sawa cjagui rangi wala kabila awe mkristo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
anaitaji mwanamke umri kuanzia 30-45 asiwe mfupi, rangi yoyote naishi dar umri wangu miaka 39 alie tayari tuwasiliane 0763004203 au 0658004203. elimu yangu kidato nne ila ninaujuzi wa kazi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari yako msomaji, Mimi naishi nje ya nchi, na natafuta mchumba mwenye heshima zake, na mwenye kujielewa,msikivu,muelewa, mwenye elimu na anayependa watoto, anayeweza kujali familia bila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wana jf,me ni kijana wa kiume 24yrs,siku zote nilikuwa nikiingia jf as guest na nimejisajiri kwa rengo moja 2,kumpata mwenz wa maisha,nina elimu ya chuo na ni mwajiliwa,nilikuwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Only a few interested parties are invited, I am a Man aged 31yrs, UDSM graduate, govt employee, Dar based, christian, looking for a friend (lady), at least a Diploma holder (though a degree...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume,umri wangu ni miaka 28,elimu yangu ni ya chuo kikuu (masterz),ni mwajiriwa, natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 20-30,dini yoyote ile,rangi yoyote ile,sio lazima awe anafanya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
I am currently in Zanzibar undertaking a construction project; it is my first time in Zanzibar; so natafuta rafiki tu sio mpenzi wa kuwa naye na kunipa company i prefer female friends - age 20 - 28
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom