Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa...
Kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu.
Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke...
Sifa za baby wanguπ π nimtakae:
Muislam
Kuanzaia miaka 34 na kuendelea
Mrefu wastani
Mstaraabu na mcheshi
Ukiwa na watoto sawa
Aijue dini kiasi
*Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto...
Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ...
Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta...
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV!
Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana.
Awe sura...
Ndugu zangu hope mko poa.... mwenzenu natafuta mchumba wa kikeππ hapo nimeona niweke sawa maana kuna Vijana wa hovyo humu.
Kama hapa yupo aje pm tuyajenge asante kwa kunisikiliza
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa late 30βs, mkristo kwa imani. ambaye kwa sasa nina mtoto mmoja, yupo shule na nakuwa nae kipindi cha likizo. Kiufupi naishi nae. Nafanya kazi katika sekta binafsi...
Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja...
Natafuta mwanamke mwenye umbile la asili sio surgery awe na tako kubwa asiwe amejichubua awe mzuri wa sura na tabia njema
Asiwe mzanaki, asiwe mvivu wa kufanya kazi
Ajue kulea watoto
Awe na...
Habari wanajamii,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30βs, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi.
Kwa ufupi kuhusu...
1. mweupe kiasi si michubuko
2. umri kati ya miaka 25 hadi 30
3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6
4. awe tayari kusimamia biashara
5. Asiwe na mtoto
6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili...
Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu.
Vigezo
Umri: miaka 21 hadi 26
Rangi: Mweupe
Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu
Elimu:Chuo kikuu
Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti...
Nimepost hapa hapa, Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!
Je umezaliwa tarehe zifuatazo π kama jibu ni 'Ndio' karibu tuunge urafiki?
π Mei 21 hadi 31,
π Juni 1 hadi 20,
π Novemba 22 hadi...