Hivi nikitaka kubadilisha uraia nichukue uraia wa Kenya natakiwa nifate njia zipi? Najua humu kuna wajuzi wengi siwezi kukosa majibu.
Nimeshaanza ku practice, leo nimenunua blacelet za Kenya mimi...
Ushawahi kujiuliza wanasiasa mfano mawaziri wana utajiri kiasi gani? Je unajiuliza kwanini matajiri wakubwa duniani wanaingia kwenye siasa? Siyo nchi za kiafrika tu, hata Ulaya?Fuatana nami nikupe...
Serikali ya Kenya imeruhusu Maduka ya Dawa za Binadamu kuanza kutoa huduma ya kwanza ya Dawa ya Kuzuia Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (PrEP) baada ua tafiti kuonesha zitasaidia Watu kuzipata kwa...
Wadau jukwaa la KENYA natafuta WAKENYA 2 nafasi ya usimamizi wa kituo cha kupiga simu kwa wateja. Kazi zake ni kama zifuatazo
1. Kusimamia timu ya upigaji simu ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa...
Ruto Names Second Batch of The Cabinet
President William Ruto: The government will provide all necessary support for those affected by protests.
✅President Ruto: Police officers, their prison...
Wizara ya Afya imethibitisha kesi ya kwanza ya ugonjwa wa virusi vya 'Mpox' mpakani mwa Taita Taveta na Tanzania baada ya kugunduliwa kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa akisafiri kutoka Uganda...
Kenya imeanzisha mpango wa kutumia sumu kuua Kunguru Milioni moja katika Miji ya Watamu na Malindi, ili kuzuia wasisambae Jijini Nairobi
Kunguru wamekuwa wakishambulia Wanyamapori, kuvamia maeneo...
Prof Kindiki amesema yeye hawezi Kujiuzulu kwa Makosa ya Polisi kuuwa Waandamanaji
Kindiki amesema kila askari Polisi atabeba Msalaba wake mwenyewe
Kindiki amesema Yeye kama Waziri ni Mwanasiasa...
PPP ya Kafulila imesifiwa na Rais Ruto wa Kenya akisema ni Uwekezaji wa Win- Win
Ruto amesema Aidan ya India watakodishwa Uwanja wa Ndege na Siyo kuuziwa kama inavyovumishwa mitaani
Source...
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za...
Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo
Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa
Wahuni siyo Watu 😂
Hayo ni maneno ya William Ruto Rais wa Kenya akitishia kujitoa kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika -Arusha.
Chanzo Cha vitisho hivyo vya Ruto ni sakata la Mahakama hiyo...
Baada ya Viongozi wanne wa ODM kuingia kwenye cabinet ya Kenya Kwanza maana yake ODM siyo Chama cha Upinzani tena hivyo kimeondolewa kwenye Umoja wa Azimio
Source: Citizen TV
Mlale Unono 😀
Kenya's coup conspiracy
Monday, May 24, 2004 — updated on June 21, 2020
Mancham, a regular visitor to the Kenya waves Kanu's one-finger salute as he departed from Nairobi in 1972 to the amusement...
Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna hivi majuzi amejipata kwenye njia panda kuhusu uteuzi wa baadhi ya wanachama katika Baraza la Mawaziri la Rais William Ruto.
Ruto alipendekeza mwenyekiti wa...
India’s Adani Airport Holdings Limited has proposed to invest $1.85 billion (Sh246 billion) to expand Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) under a concession deal that, if accepted, could...
Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu.
"Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye...