Kipini: Kijiji cha pwani ya Kenya kinachotoweka baharini
Roberto Macri
Maelezo ya picha,Wageni wakati mmoja walifurahia mandhari ya kupendeza kutoka kwa roshani ya hoteli ya Tana Lodge
Wakati...
1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar)
2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa...
A Maasai Mara tented camp, Mahali Mzuri, owned by British tycoon Sir Richard Branson has been ranked as the number one hotel in the world. The Travel + Leisure World’s Best Awards released on...
Rais Ruto anaendelea na ziara yake ya kuwatembelea Wakenya majumbani mwao.
Leo alikuwa Kisii na kama kawaida ameinza siku kwa kupata chai ya maziwa na Mkate akiwa na wenyeji wake.
Ingekuwa...
1/7/2024
Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha
Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki...
Kiongozi wa dhehebu, Paul Mackenzie anayekabiliwa na mashtaka ya kuhamasisha wafuasi wake zaidi ya 400 kujinyima chakula hadi kufa amekana mashtaka ya mauaji ya bila kukusudia Agosti 12, 2024...
KENYA: Wafanyakazi na Watoa Huduma katika Sekta ya Anga wametangaza kufanya Mgomo kuanzia Agosti 19, 2024 wakipinga kampuni ya Adani Airport Holdings ya India kupewa tenda ya miaka 30 kusimamia na...
Penye uzia penyeza rupia!
Kumbe mbwembwe zote zile za maandamano ya GEN Z huko Kenya nilidhani inatokana na hisia kamili za Wanaojiita Gen Z kumbe kuna mabwanyenye ambao inawezekana mirija yao ya...
Rais William Ruto apunguza mafao ya marais wastaafu kwa Tshs Billioni 2 kama sehemu ya kubana matumizi kulingana na bajeti mpya ya mwaka 2024/2025.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msimamizi...
Ifahamu textile manufacturing company iliyofungua kiwanda chao Kenya mwaka wa 2020. Sasa hivi imeajiri Wakenya 3,000. Kampuni hio ipo ndani ya special economic zone.
MAS Intimates Kenya Athi...
Serikali ya Marekani imeahidi kuipa Serikali ya Rais William Ruto Dola 550,000 kwaajili ya kuongeza Uwazi katika masuala ya Uwajibikaji na Kuzuia Rushwa nchini humo.
Wizara ya Mambo ya Nje ya...
MY TAKE; Hivi zile za Kenya zinatumia mfumo upi?, Kuna siku ziliwahi kugonga Ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake...
Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara...
10 Julai 2024
Nairobi, Kenya
JOSHUA OKAYO KIONGOZI WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU KITIVO CHA SHERIA KWA UJASIRI, AWAANIKA WATEKAJI WAENDAO KWA JINA MAARUFU WATU WASIOJULIKANA...
1. Wenzetu pamoja na Katiba 'nzuri' bado wanafanya mzaha kwenye vetting ya Viongozi wao.
2. Hivi punde Mawaziri wateule 20 wamepitishwa na Bunge tayari kula kiapo na kuanza 'kuiba' upya pamoja...
https://youtu.be/OZ9qfm46k0U?si=Rlk4qTkzB_dJgkLz
Gabriel Oguda, popular social media activists allegedly abducted
Several social media users and content creators are missing after they were...
Kukubali kuondoa muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024/2025, uliolalamikiwa na kuibua maandamano ya Gen Z, kuvunjwa kwa baraza la Mawaziri na kuwafuta kazi Mawaziri wote waandamizi Serikalini...
Rais William Ruto ameidhinisha Muswada wa Matumizi ya Ziada na Mpango wa Kupunguza Matumizi ya takriaban Tsh. Trilioni 3.02 (Ksh. Bilioni 145) katika Bajeti iliyotengwa kwaajili ya Serikali...