Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote Source: Citizen tv...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Hatimaye Rais Ruto amesema ataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa itakayokuwa na Mawaziri kutoka vyama vyote vya Siasa na Taasisi za Kijamii na Kidini. --- Ruto To Form Inclusive Govt: President...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada. Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok...
3 Reactions
10 Replies
901 Views
Wajumbe wa Bunge la Seneti wamezuiwa kwa muda kusafiri nje ya nchi ili kuhakikisha Wajumbe wote wanashiriki katika kesi ya kumng'oa Naibu Rais Rigathi Gachagua bila usumbufu wowote. Bunge la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani. ~ Waliopiga kura ya hapana - 44 ~ Ambao hawakuchagua kokote - 1 Tanzania tutachukua...
6 Reactions
84 Replies
7K Views
Kama mchambuzi wa siasa ndani ya Afrika mashariki unaweza kutoa opinion gani kwa yale yanaoendelea kutokea nchini Kenya? Willium Ruto ameamua kuwa jeuri na nyang'au na hivyo kuiondoa kenya kwenye...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Matatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa. Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Rais Ruto amesisitiza hilo leo Alhamis 7/3/2024 kuwa ataendelea kuhakikisha sheria ya 2/3 ya jinsia imetekelezwa kikamilifu katika chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) na katika...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa sasa, kuna mijadala inayoendelea kuhusu hatua ya kumuondoa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hatua hii imechochewa na malalamiko ya kisiasa na madai mbalimbali kutoka kwa wapinzani wake...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Parliament has asked the Energy Ministry and the Treasury to change tack and build some three power transmission lines under a public-private partnership (PPP) to ease pressure on the Exchequer...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote...
0 Reactions
7 Replies
985 Views
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua ameanza kujitetea mbele ya Wabunge nchini humo ambao wamekuwa wakijadili hoja ya kumuondoa madarakani, kwa tuhuma mbali mbali ikiwa ni pamoja na uhaini, kupata...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa. Gachagua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunasifia Katiba ya Kenya ni Bora lakini kiukweli ina Ujanja Ujanja mwingi sana ndani yake Watu wanagawana keki ya Taifa kwa ukabila na wanasainishana Mikataba kabisa Gachagua Leo ametoa Siri...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni kama historia inakwenda kujirudia kwenye siasa za Kenya. Ilianza kwa Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake, William Ruto kiasi cha kuharibu mambo kuanzia ofisini, kwenye kampeni na hata baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naibu Rais, Rigathi Gachagua anatarajiwa kufika mbele ya Bunge la Kitaifa kwaajili ya kutetea nafasi yake (Unaibu Rais) dhidi ya hoja za kumwondoa Madarakani zilizowasilishwa na Septemba 26, 2024...
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amefanikiwa kusajili jina lake la utani 'Riggy G' kama jina la apana ya biashara, yaani 'trademark' na hivyo basi ni marufuku kwa yeyote kutumia jina hilo bila...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, amejigamba kwa kudai kwamba yeye ndie pekee aliesababisha na kuchangia pakubwa Rais Dr. William Ruto akashinda uchaguzi wa 2022, la si hivyo bila jina lake...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Tunazidi kuwakumbukusha vijana wa Gen Z kuwa siku Ruto anajiuzulu mjue Katiba inamtaka Naibu Rais Dr Gachagua ndio awe Rais wenu. Hakika hali yenu itakua mbaya kuliko sasa.
4 Reactions
11 Replies
876 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…