Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

There is a history of rivalry between Wakenya na Wabongo, I feel like inaharibu zaidi ya kujenga, whenever something good happens to, say Kenyans, Wabongo (most) will find faults badala ya...
10 Reactions
20 Replies
5K Views
UCHAGUZI WA KENYA 26/102016: Hivi wakitokea watu wakaenda supreme court ku challenge uchaguzi wa juzi , Maraga anaweza akapata courage/guts ya ku nullify matokeo hata akiona kuwa...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Looming risks as Kenya, Tanzania debt levels on the rise TUESDAY OCTOBER 24 2017 Kenya’s Treasury Cabinet Secretary Henry Rotich on his way to parliament to present the 2017/2018 budget in...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Chadema mbona safari hii kimya? Lowasa hakwenda tena Kenya kumpigia Uhuru kampeni na hatukusikia tena makelele kuhusu "baba wa demokrasia". Kulikoni?
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani NASA nchini Kenya, Raila Odinga amesema kuwa upinzani sasa umegeuza muungano wa upinzani National Super Alliance NASA kuwa kundi la maasi. Amesema kuwa wataanza...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
MACHAKOS, KENYA: Watu wawili mmoja akiwa Mtoto wa miaka 13 wameuawa kwa kupigwa risasi wakati Jeshi la Polisi likiwatawanya waandamanaji. Mtoto huyo alikuwa akielekea kwenye Kioski ili ajipatie...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tume ya Uchaguzi nchini Kenya imetangaza kuahirishwa kwa uchaguzi wa marudio katika majimbo manne magharibi mwa nchi hiyo ambayo ni ngome ya kiongozi wa upinzani Raila Odinga aliyetoa wito kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi, awape subra na uvumilivu, uchaguzi uwe wa amani na warudi kuijenga nchi yao. Amen
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Najiuliza kwa huu mfumo wa uchaguzi wa kesho huko Kenya ambapo CHADEMA kuanzia mwanzo wanafahamika kumuunga mkono Uhuru. Kwa kuzingatia uchaguzi wa Zanzibar ulivyofanyika inaonekana CCM hawawezi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Vurugu na idadi ndogo ya wapiga kura katika vituo imeshuhudiwa katika uchaguzi wa marudi nchini Kenya, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeahirisha uchaguzi huo katika baadhi ya maeneo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza kuruta huyu aliyekuwa kwenye mafunzo ghafla alianza vioja vya ajabu mpaka kufikia kumchapa kibao mkufunzi wake ambaye ni askari polisi
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii imetokana na juhudi za Wakenya kupigia debe kahawa yao na kuongeza thamani yake. US purchase of Kenyan coffee has shot up 75 per cent to Sh7 billion in the current financial year, overtaking...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Will Uhuru still be a President? Is there no threshold for election's legitimacy? How about credibility for the process where less than half of voters turn out in most of the counties aside those...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Siku Tanzania ikipata mahakama huru kama hii, nitajiunga kwenye ule msemo maarufu kwamba maendeleo hayana chama
3 Reactions
33 Replies
4K Views
David Maraga is said to have rejected Kshs.500,000,000
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenya: One Dead, 8 Injured in Kisumu, Migori Protests
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Polisi mmoja amefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafirishia vifaa vya kupigia kura kupinduka huko Garissa Kamishna wa Kaunti hiyo James Kianda amesema gari hilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau C.J David Maraga Ameiagiza Kenya Commercial Bank Iziondoe Haraka Kutoka Kwenye Akaunti Yake Fedha Kiasi Cha Shs Billion 1. Fedha Hizo Zimekutwa Katika Akaunti Yake Iliyopo Katika Benki...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama anaweza kuzuia Uchaguzi ulioko kisheria ina maana ana nguvu sawa au zaidi ya Serikali, sasa kwa nini wasigawane tu hiyo nchi? I mean this crazy, sijawahi kusikia ujinga kama huu wa Kenya, ...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…