What so special hapa??Tatzo lenu akili zenu zimeshikiriwa na KINA MBOWE na wao wana wasaidia kufikiri......Siku Tanzania ikipata mahakama huru kama hii, nitajiunga kwenye ule msemo maarufu kwamba maendeleo hayana chama
Ni ujinga gani unaongea, naibu Jaji mkuu wa Kenya gari yake imeshambuliwa na risasi jana na Dereva wake amejeruhiwa. Baadhi ya majaji wako kichama sana hadi wameamua kuingia mitini leo kwenye kesi ya kuahirisha uchaguzi. Kenya is a failed state.Katika afrika mashariki Kenya pekee yake mahakama ndiyo iko huru,haingiliwi na serikali
Ova
Imesemwa bila kificho kwenye katiba. Kuandamana ruksa. Hapa kwetu ni ishuuuHongera Kenya mahakama huru
Kenyata na ODM tena!Hizi sarakasi za Uchaguzi Kenya, Kenyata na ODM, Odinga na NASA, Mahakama na Majaji, maandamano na Wananchi, zinafanana sana na makinikia, Gavana mpya, bombadier mpya/mtumba, noah to bakimi, zote zinanichanganya ngoja nitulie ntasema mwisho.
Hebu hapo ulipo agiza bia mbili bariiidi upoze kiu mkuu'THE GRASS IS ALWAYS GREENER ON THE OTHER SIDE OF THE FENCE'
Whenever kenyan election nears, many kenyans expecting the worse do get out of the country fearing election violence which is endemic to that country. Here in Tanzania 20 years ago, some asians used to do the same but it is now history.
TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA TANZANIA
Ahsante sana mzee tena nitaagiza bia ya bei mbaya kwa ofa uliyonipaHebu hapo ulipo agiza bia mbili bariiidi upoze kiu mkuu
Tatzo menu ninyi wanakijiji wa PINGAPINGA mnadhani vurugu ndio demokrasia, too sadKatika afrika mashariki Kenya pekee yake mahakama ndiyo iko huru,haingiliwi na serikali
Ova
Kenya ni mfano wa kuigwa
Kama mwanajumuia ya afrika mashariki, nathubutu kusema kwamba kenya iko next level when it comes to democracy, japo hali ya usalama inatia huzuni sana. Lakini lazima tutambue kwamba demokrasia ina gharama zake nahizo ndo gharama za demokrasia.
Huku tanzagiza tumejificha tu kwenye kichaka kinaitwa demokrasia
Siku Tanzania ikipata mahakama huru kama hii, nitajiunga kwenye ule msemo maarufu kwamba maendeleo hayana chama