Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

David Maraga is said to have rejected Kshs.500,000,000
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenya: One Dead, 8 Injured in Kisumu, Migori Protests
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Polisi mmoja amefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafirishia vifaa vya kupigia kura kupinduka huko Garissa Kamishna wa Kaunti hiyo James Kianda amesema gari hilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau C.J David Maraga Ameiagiza Kenya Commercial Bank Iziondoe Haraka Kutoka Kwenye Akaunti Yake Fedha Kiasi Cha Shs Billion 1. Fedha Hizo Zimekutwa Katika Akaunti Yake Iliyopo Katika Benki...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama anaweza kuzuia Uchaguzi ulioko kisheria ina maana ana nguvu sawa au zaidi ya Serikali, sasa kwa nini wasigawane tu hiyo nchi? I mean this crazy, sijawahi kusikia ujinga kama huu wa Kenya, ...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Raila amekua akiahidi moto na kwamba kutakua na maandamano hayajawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii, hapo mnamo tarehe 26 mwezi huu. Amekua akitema cheche na kuweka Wakenya wote kwenye mkao...
12 Reactions
99 Replies
11K Views
Stay at home on Thursday, don't protest, Raila tells supporters the-star.co.ke Oct 24, 2017 11:54 AM NASA chief Raila Odinga addresses supporters during a rally to celebrate Mashujaa Day in...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
EDITORIAL: Ensure oil investment is worthwhile for Kenya WEDNESDAY, OCTOBER 25, 2017 23:00 BY EDITORIAL Kenya has so far discovered 750 million barrels of oil in Turkana, an amount that...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
National Super Alliance (NASA) presidential flag bearer Raila Odinga said that he will be seen as a flower girl by Jubilee if he participates in Thursday rerun. Odinga said that Jubilee has since...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ametoa wito kwa wafuasi wake wajiandae kwa mapambano yatakayopelekea kufanyika uchaguzi ndani ya siku 90 zijazo. Baadhi ya kauli zake mpya - Wasusie bidhaa na huduma kutoka kwa makampuni yenye...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Alafu mtaskia tu Tomorrow Maybe 10yrs from now Ndege imeanguka kule wilson muanze kushangaa This is Jubilee for you!!!!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Chama cha NASA, kulingana na kiongozi chake Raila, kimekuwa chama cha mapinduzi (resistance movement). Mimi naona ni kama Raila anataka kufanya kama Museveni alivyofanya hapo awali. Mwaonaje...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Would you buy a secondhand shirt from this rat? Bora CHADEMA hatumtaki kabisa, tunatii sheria bila shurti, heshimu chama tawala.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania, nachukia kwa kiwango cha hali ya juu, kinachoendelea Nchini Kenya, kisa tu kuwa heti mpate madaraka, awe rais apate mshahara mkubwa?? alafu apoite barabarani na vingora? this is...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanawake kadhaa kutoka Nyeri, Nchini Kenya, wamesema kuwa hawatotoa "Unyumba" kwa waume zao kama hawatompigia Kura Uhuru Kenyatta . Wanawake hao wamefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa Waume...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Wabunge 6 wa upinzani kutoka Pwani na Gavana wa Kilifi Amason Kingi na wamesema watashinikiza mkoa huo kujitenga endapo Tume ya Uchaguzi itaendelea kusisistiza kufanyika kwa uchaguziwa marudio...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Mahakama ya Juu Kenya yashindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na ukosefu wa majaji wa kutosha mahakamani. Jaji Mkuu David Maraga amesema baadhi ya majaji wamo nje ya nchi...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Rais Kenya, Uhuru Kenyatta na Makamu wake , William Ruto wameyatuhumu mataifa ya Kigeni kutaka kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo. "Nataka kuiambia jumuiya ya Kimataifa kwamba kenya hakuna...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dereva wa naibu jaji mkuu wa Kenya Philomena Mwilu amepigwa risasi na kujeruhiwa na watu wasiojulikana mjini Nairobi. Dereva huyo anayejulikana kama afisa wa polisi Titus Musyoka alipigwa risasi...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom