vituko vya uchaguzi kenya

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,554
45,851
22794305_503564200004451_8137026910497538048_n.jpg
 
Wanaume wa Nairobi
Wamefanya nini? Wewe tembea Nairobi afu mkipishana na mwanaume wa Nairobi mgonge bega uone kitakachofata. Vijana Nairobi huwa wanasema hapan tambua. Hehe unadhani huku kuna yale maneno ya wanaume wa Dar na chipsi mayai?
 
Sidhani kama watakaopiga kura leo watazidi 40% kwa hali ilivyo.
Mungu awe pamoja na walenya wafanikishe kwa amani
 
Kipindi hiki chuki imeingia nchini ...Viongozi jamani jitahidini kuleta amani...inasikitisha

Wamefanya nini? Wewe tembea Nairobi afu mkipishana na mwanaume wa Nairobi mgonge bega uone kitakachofata. Vijana Nairobi huwa wanasema hapan tambua. Hehe unadhani huku kuna yale maneno ya wanaume wa Dar na chipsi mayai?
Walimwibia Rafiki yangu pale oracle, aisee wanaume wa Kenya 9/10 ni wakora potential. Thievery in their blood.
 
Back
Top Bottom