Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Taarifa za hivi punde zinasema kwamba, watu wengi wameuliwa baada ya Alshabaab kuvamia basi la abiria jioni hii huko katika mkoa wa Wajir. Wakati tunaendelea kuomboleza mamia ya wakenya waliokufa...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Tazama video https://youtu.be/CuEc47jKEU0?si=ZURPWqS0Efdf8YdK
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Wakuu, Jirani naye hana tofauti na wa kwetu, ni mwendo wa mabavu tu badala ya uwajibikaji utafikiri itasaidia kubadilisha kitu, zaidi ni kufanya wananchi waangalie njia ya kuleta uwajibikaji kwa...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Kipindi cha maandamano ya gen-z kule Kenya mpaka kufikia kwenda bungeni na kutokea mauaji ambayo inashutumiwa KDF ambalo ni jeshi la Kenya kuhusika sasa, BBC ilitoa taarifa kupitia kipindi chake...
2 Reactions
2 Replies
464 Views
Wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo; 1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or...
7 Reactions
65 Replies
12K Views
Mbunge wa Chama cha ODM, Charles Were amepigwa risasi na kuuawa katika mzunguko wa hifadhi ya City kwenye barabara ya Ngong jijini Nairobi na watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki muda mfupi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Vyombo vya Kenya Jana usiku vilitoa habari ya kuuliwa kwa Mbunge Were aliyepigwa risasi na mtu aliyekuwa anayeendesha pikipiki. Tukio hili limetokea baada ya Mbunge huyu wa ODM kuliomba jeshi la...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kenya Airways has nothing to fear about return of Uganda Airlines – envoy SUNDAY DECEMBER 9 2018 Insight. Kenya’s High Commissioner to Uganda, Mr Kiema Kilonzo, during the interview in...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Kenya wamelaani vikali ghasia zilizozuka katika Eneo Bunge la Kilgoris, Kaunti ya Narok, kati ya wananchi na maafisa wa polisi kuhusu mgogoro wa ardhi ya...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi...
0 Reactions
4 Replies
654 Views
Mbunge wa Emurua Dikirr, Johana Ngeno, alijikuta katika mvutano na polisi kufuatia tukio la vurugu lililosababisha vifo vya watu watano katika eneo la Angata Barrikoi, Kaunti ya Narok, Kenya...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Kenyan authorities block screening of ‘Blood Parliament’ documentary: BBC By Dennis Musau Published on: April 29, 2025 08:17 (EAT) A Kenyan Police officer fires a tear gas canister towards...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
SERIKALI, kupitia Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB), imesitisha matangazo yote ya kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari nchini kwa kipindi cha siku 30, kufuatia ongezeko la...
6 Reactions
73 Replies
4K Views
Maafisa wa upelelezi katika Kituo cha Polisi cha Kayole, Nairobi wanamshikilia Imamu mkuu kwa tuhuma za kusababisha madhara makubwa kwa watu wawili. Inaripotiwa kuwa Imamu Mohamed Ibrahim Hussein...
1 Reactions
7 Replies
644 Views
Margaret Nduta Macharia (37), raia wa Kenya aliyekamatwa mwaka 2023 nchini Vietnam na dawa za kulevya kilogramu mbili za Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025...
10 Reactions
134 Replies
8K Views
It is very rare to get compliments from Kenyans - President Ruto
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Taasisi ya Gates (zamani ikijulikana kama Bill and Melinda Gates Foundation) imetangaza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Nchi Mwenyeji na Serikali ya Kenya, yaliyokuwa yanawapa kinga za...
0 Reactions
3 Replies
619 Views
Hamna namna ya kupenya soko la Afrika Mashariki na Kati bila baba lao Kenya kutia saini humo. ========= Global electric giant LG Electronics has opened its first East Africa’s laundry shop in...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Jumanne wiki hii, Rais William Ruto wa Kenya aliwasili Beijing na kuanza ziara ya siku tano nchini China. Ziara hii inafanyika baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuanza “vita vya ushuru” dhidi...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Mwanaume aitwaye Titus Wekesa Sifuna alifikishwa katika Mahakama ya Milimani siku ya Jumatatu kwa tuhuma za hotuba ya chuki, ambapo upande wa mashtaka uliwasilisha ombi la kumshikilia kwa siku...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…