Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada...
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Kundi moja la wanaharakati jijini Nairobi wamemkaribisha kishujaa mwanaharakati Boniface Mwangi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Wilson akitokea Ukunda, baada ya kurejeshwa Kenya kwa...
1 Reactions
6 Replies
616 Views
Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu...
0 Reactions
1 Replies
529 Views
Taharuki imetanda miongoni mwa waumini wa Kanisa la Anglikana (ACK) St. Matthew’s Mutithi lililopo Kirinyaga nchini Kenya, baada ya watu wasiojulikana kuvunja na kuiba mali ya kanisa, huku...
1 Reactions
10 Replies
641 Views
Nipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE. Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna...
2 Reactions
10 Replies
663 Views
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44. Jengo lenyewe...
21 Reactions
293 Replies
39K Views
Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
"Kwa Roho ya Afrika Mashariki, Tusaidieni Kuadhibu Wanaharakati Wasiotii," Seneta Cherargei Aisifu Tanzania kwa Kushughulikia Wanaharakati wa Kenya ====================== In the spirit of East...
1 Reactions
2 Replies
312 Views
Yaani kweli kabisa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasimama hadharani, bila aibu, bila busara, na kusema Wakenya ni watovu wa nidhamu? For real? That’s messed up! Mama Samia, hii siyo...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
By Joseph Ludovick Tanzanians are a peace loving people, defined by a history of diplomacy, order, and an unwavering respect for sovereignty. But recent events surrounding the arraignment of...
1 Reactions
4 Replies
822 Views
Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Mheshimiwa Rigathi Gachagua amesema maisha yake yapo hatarini akimtuhumu Rais William Ruto kuhusika na tishio hilo. Gachagua amesema alipewa taarifa kuwa...
0 Reactions
4 Replies
604 Views
1. Walitangaza nafasi, wakaomba watu.wengi , wakawa shortlisted??? 2. Wakafanyiwa Interview ya wazi, televised kila Mkenya anaona na kusikia 3. Wanampelekea Rais kati ya majina 5???? ateue mmoja...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
“Wametembea, wamejaribu kwenda kuleta mchezo wanaoleta hapa katika manchi jirani, nini kimetokea?, tukiambia Waty that Kenya is so democratic they don’t believe it” “Watu wanatoka katika Taifa...
0 Reactions
5 Replies
665 Views
Familia moja katika eneo la Narok, Kenya, imepigwa na butwaa kufuatia kauli ya Rais William Ruto aliyodai katika mkutano wa hadhara kuwa alizungumza na baba yao na kufikia makubaliano kuhusu...
0 Reactions
6 Replies
679 Views
Kumekuwa na mwenendo unaotia wasiwasi katika mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya Wakenya wamejipa mamlaka ya kuingilia na hata kudhalilisha masuala ya ndani ya siasa za Tanzania. Hili si jambo...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Takriban watu watatu wamekamatwa kufuatia tukio la kutupwa kiatu kuelekea kwa Rais William Ruto katika eneo la Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori. Soma Pia: VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu usoni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KENYA: Serikali imemsafirisha Mmoja wa Viongozi wa NRM, Miguna Miguna kuelekea nchini Canada ikiwa ni saa chache baada ya Majaji kusimamisha kesi zake zote kufuatia Polisi kushindwa kumfikisha...
4 Reactions
105 Replies
16K Views
https://x.com/kenyanwalstreet/status/1920710670007369997?t=7R1hJAOxEGvKDNa-_WPzog&s=19 https://x.com/MwangoCapital/status/1920750699245433156?t=P05PrDyoB4a5_mw6gcL4LQ&s=19 Ethiopia is a drag on...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Wanaharakati wa kisiasa Morara Kebaso na Kasmuel McOure wameungana kuanzisha harakati ya vijana kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2027. Wanasema kuwa wameweka tofauti zao kando ili...
1 Reactions
1 Replies
507 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…