Mbunge wa Nakuru Town East Mheshimiwa David Gikaria ndani ya selo baada ya kumzaba afisa wa Kenya Police(OCS, Bondeni PS) kofi la mwendokasi. :D:D:D Stay strong Comrade, stay strong! [emoji38]...
Kwisha zao..! Jeshi la Polisi limewatia nguvuni Bi Nancy Muthori na Bw. Joseph Muhayo baada ya kuwabambwa na masanduku yenye mabunda ya fedha bandia nyumbani kwao mtaa wa Ruiru, Kiambu nchini Kenya.
Maafisa hao walifika kwenye kituo cha mafuta kilichopo Kisumu muda wa saa 7 usiku wakiwa wanaendesha Pikipiki na kumkuta mwendesha magari ya mafuta akishusha mafuta kwenye kituo hicho na kutaka...
Esther na Salome wakiwa na mwalimu wao Peter Tabichi ambaye alishinda tuzo la mwalimu bora duniani 2019.~ Wanafunzi wawili wa shule ya upili ya Keriko Secondary School Nakuru, Kenya wameshinda...
Miili ya vichanga wawili wanaosadikiwa kuwa mapacha imekutwa kwenye Mto Nairobi Jijini Nairobi nchini Kenya katika zoezi la usafi
Watoto hao walikutwa wakiwa kwenye mifuko ya plastiki mmoja akiwa...
Hivi huyu Prof. Manyora kwanini asipewe wizara huko Kenya?. Mimi kwa maoni yangu ninadhani ana mawazo ya kizalendo na ana uwezo mkubwa sana wa kufikiria mambo kuliko mawaziri wengi huko Kenya...
Kila siku mmekuwa mnajaribu kujimikisha rasilimali za Tanzania kwa kuzitangaza kimataifa kuwa ni za kwenu kitu ambacho si cha kweli. Rasilimali zote hizo ni za tz mfano mlima kilimanjaro n.k
Puzzle of idle Sh2bn giant SGR cranes at Mombasa port
nation.co.ke
May 19, 2019 7:31 AM
The faulty standard gauge railway (SGR) gantry cranes at the Mombasa port on Thursday, May 16, 2019. The...
The Citizen
News
Man behind shadowy Kenyan firm that took Dar for Sh418bn ride
MONDAY MAY 13 2019
[https://www]
Indo Power Solutions CEO Brian Mutembei. PHOTO | COURTESY
In Summary...
Yes Neymer Jr PSG and Brazilian football player is expected to visit Serengeti National Park in Tanzania. Via his social network account Neymar has confirmed that he will visit Serengeti for holiday.
Imekua kawaida kule Tanzania wao huchelewa kutekeleza chochote na kutuona ovyoo sisi tunaothubutu, hatimaye wanaishia kufanya mwisho mwisho tena kwa kuhaha.
Kwa mfano kitambulisho cha uraia...
Rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi ameamriwa na Mahakama Kuu jijini Nairobi amlipe fidia ya Ksh bilioni 1 Susan Cheburet Chelungui na mwanawe David Chelungui kwa kosa la kutumia mamlaka yake...
KCB retained both the Kenya Cup and the Eric Shirley Shield Titles on the 18th of May after beating opponents Kabras Sugar RFC and Menengai Cream Homeboyz 23-15 and 11-5 respectively.
The Kenya...
A 46-year-old Kenyan man living in the U.S. was on Friday charged with the killing of 11 elderly women in Texas County.
According to AP News, Billy Kipkorir Chemirmir, also robbed his victims of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.