Wawekezaji kutokea Kenya huona nafuu sana kuwekeza Uganda, labda ni kwa sababu raia wa huko hawajalishwa majungu na chuki.....
Uganda has been ranked as the most preferred investment destination...
How do we not have a thread here about Nairobi National Park? The only one of its kind in the world, a national park and exclusive wildlife sanctuary within the confines of a city.
Feel free to...
@5,199 Metres, Mlima Kenya(Kirinyaga) ndio mlima wa pili kwa urefu barani Africa. Ml. Kenya na Mbuga la Wanyama la Ml. Kenya, viungani mwake, ni UNESCO 'World Heritage Site' na 'World Biosphere...
Huko Mombasa Kenya, The meeting is over. Kalonzo Musyoka, Wetangula,Mudavadi, Oparanya, Gideon Moi and President Uhuru Kenyatta Unanimously agrees to Support Raila Odinga for President in 2022...
Sikutegemea kwamba mwaka jana tutawapiga majirani bao la kibiashara, kama ilivyo desturi. Ikizingatiwa kwamba wao walinusurika(kwa maombi/tiba za asili n.k.) sie tulipokuwa tukipambana na wimbi la...
Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye...
Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya.
Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12...
======
What Happened to Eliud Kipchoge in London?
By Cathal Dennehy
Eliud Kipchoge said he experienced an issue with his right ear during the London Marathon, which led to his...
Hongerei sana mashujaa wetu wa kutuwakilisha vyema bara hili.
========
Kenya featured prominently Sunday as curtains were drawn on the 32nd Olympic Games, with Tokyo organisers overcoming huge...
Kama kawaida Wakenya wanaendelea kukusanya medali kadhaa kule, vipi majirani kunaye anatajika hata kuonekana tu kwenye TV.
• Fellow Kenyan Brigid Kosgei took silver and Molly Seidel of the United...
Group Chief Executive Officer Patrick Nyaga
FILE
CIC Insurance Group has recorded a major rebound of Ksh337 million profits before tax for the half-year ending June 30, 2021, according to a...
Kuanzia Oktoba Mosi vitu ambavyo vipo katika orodha ya kulipa tozo zitaongezeka bei nchini #Kenya kutokana na ongezeko la tozo kwa asilimia 4.97
Mamlaka ya Mapato ya Kenya(KRA) imetangaza...
Kuwa na dhamana ya maisha ya watu ni pamoja na kuwajibika zaidi hata dhidi ya ujinga wao.
Babu wa Loliondo angekuwa hai Kenya lakini si Tanzania.
Heko rais Kenyatta kwa maana heri lawama...
Askari wa kikosi maalum cha Uingereza aokoa watu shambulio la kigaidi Kenya
THURSDAY JANUARY 17 2019
Kwa ufupi
Shambulizi hilo lilianza kwa mlipuko uliofuatiwa na milio ya risasi...
President Uhuru Kenyatta on Tuesday held a meeting with a cross-section of political party leaders at State House, Mombasa.
In a statement to newsrooms, State House spokesperson Kanze Dena said...
All civil servants must now get a COVID-19 vaccine or face disciplinary action.
According to a statement from the Head of Public Service Joseph Kinyua, civil servants will now be required to get...
Wakenya Wana highly protectionism policy, billionaire mtanzania Rostam pekee alitaka kuwekeza 130millions dollars hizi ni pesa nyingi kwa mtu mmoja kuwekeza alienda mbaka kwa uhuru Kenyata toka...
Mfanyabiashara raia wa Uturuki, Harun Aydin anayehusishwa na Naibu Rais William Ruto ametimuliwa nchini.
Aydin alikamatwa katika uwanja wa ndege alipokuwa akiingia humu nchini kutoka Uganda...
Habari majirani, Huku kwetu Tz Paypal inaruhusu malipo tu, Haiingizi pesa, Hivyo nimeona mbadala ni kuja hapo mpakani ili nisajiliwe line ya Safaricom ambayo hata huku kwetu inafanya kazi maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.