Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Middle income haiwezilishwa na least developed country. Tunaendelea kuboresha sector yetu ya ukulima. Tazama video joto la jiwe ulikuwa unalialia sana kuhusu Galana kulalu sasa tazama video.
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Wafungwa 31 wamekutwa #CoronaVirus katika gereza lililoko Nairobi. Idadi hiyo imethibitishwa baada ya sampuli 59 kupimwa kwenye gereza hilo Jumapili, Mei 31 Timu ya Uokoaji na Dharura ya Nairobi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
William Samoei Ruto Achaguliwa kuwakilisha Afrika ulimwenguni OGP ======= Deputy President William Ruto (above) has been elected to represent Kenya and the continent in a global governance...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
MY TAKE; Wakenya wanaumia sana na mafanikio ya Tanzania, wivu na roho mbaya zinawafanya washindwe kushughulika na mambo yao badala yake kujaribu kuichafua Tanzania. Kenya imeongeza propaganda zao...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, nawaomba ndugu zangu naomba wakenya mnisaidie hivi jubilee ni chama kimoja au muungano? Na mfumo wa viongozi ukoje au taasisi zake zikoje hasa kimuundo? Karibu wadau
0 Reactions
0 Replies
477 Views
143 Kenyans have tested positive for the new coronavirus in the last 24 hours, Health CAS Dr. Rashid Aman has confirmed The new cases are from 2959 samples tested between Friday and Saturday and...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ningependa kuja hapo Namanga upande wa Kenya ili niiuze hii mishikaki. Lengo ni kupata pesa za Kikenya ili kukuza kipato changu. As we speak 1 Kenyan bob=21.6 Tshs. Natanguliza shukrani.
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Idadi ya maambukizi ya #COVID19 imeongezeka baada ya maambukizi 127 mapya kuthibitika na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya maambukizi 1,745. Idadi hiyo imekuja baada ya kupima sampuli 3,831...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
President Uhuru Kenyatta's government is among three administrations elected on the steering committee of the Open Government Partnership (OGP), a global body with representation from 78 countries...
1 Reactions
12 Replies
757 Views
MY TAKE: Kumbe ndio sababu Ethiopia inazidungua ndege za Kenya huko Somalia, na Mara kwa Mara ENDF wanavuka mipaka na kuingia Kenya na kuua wakenya na kurudi Ethiopia bila KDF kuchukua hatua...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika Hali isiyokuwa ya kawaida wanajeshi wa Kenya KDF wamewaua watoto wawili wanaokuwa wanaishi na baba yao ambaye anashukiwa kuwa Ni gaidi wa ALSHABAB. Hali hiyo ilitokea wakati polisi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kenyan military outshined again by our neighbours A wreckage of Kenyan plane in flames after being downed by Ethiopian soldiers There a time when Kenya was a dwarf in the region in terms...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu, Ukajanja wa Kenyatta umekwisha. Hongera Museveni, wacha linchi la njaa na ukabila likule ujeuri wao. ======
8 Reactions
23 Replies
2K Views
MY TAKE: Hivi hii hali angeiona Magufuli, kuna ambaye angebaki ofisini? ---------------- A photo of a poorly done road between Bulbul and Gataka in Kajiado County by a certain contractor has...
1 Reactions
5 Replies
631 Views
MY TAKE: Despite a public statement by Uhuru that no vaccine trials r to be conducted in Kenya following an announcement by a scientist at Oxford that Kenya will be a site of trials for the new...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
CBK Governor Patrick Njorge projects a tough second quarter of the year, as a result of disruptions caused by COVID 19. He however expects recover in most sectors after June this year, if economy...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kazi takribani millioni nne kupotea. Ni kilio na kusaga meno. Kwisha kazi yao, Kushobokea wazungu kunazidi kuwaponza. ===== Makali ya janga la COVID -19 yanazidi kushuhudiwa nchini huku...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika Hali isiyokuwa ya kawaida wanajeshi wa Kenya KDF wamewaua watoto wawili wanaokuwa WAMESHIKILIWA Kama hostages na ALSHABAB. Hali hiyo ilitokea walipokuwa wanafanya jitohada za kuwaokoa...
0 Reactions
2 Replies
687 Views
Back
Top Bottom