Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed Either...
4 Reactions
75 Replies
2K Views
Familia moja katika mtaa wa Huruma jijini Nairobi imejikuta katika majonzi makubwa kufuatia kuuawa kwa ndugu yao, John Okoth Ogutu, raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 33, aliyeuawa wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Afisa mmoja wa Kikosi cha GSU aliyeambatana na msafara wa ulinzi wa Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, amethibitisha kupoteza bastola yake wakati wa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila...
1 Reactions
6 Replies
401 Views
Waziri Mkuu wa zamani, marehemu Raila Odinga, ametunukiwa Nishani ya Juu Zaidi ya Heshima Nchini Kenya — Chief of the Order of the Golden Heart (C.G.H), heshima ambayo ni ya juu kuliko zote nchini...
1 Reactions
3 Replies
193 Views
John Chebochok, afisa wa mashamba ya chai ambaye alihusishwa pakubwa katika makala ya BBC iliyoangazia unyanyasaji wa kingono katika mashamba ya chai eneo la Kericho, anaripotiwa kujiandaa...
1 Reactions
2 Replies
112 Views
Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano nchini Kenya (NCIC) imemtaka Gavana wa Nyeri, Mutahi Kahiga, kutoa maelezo rasmi kuhusu kauli zake zilizozua utata kuhusu kifo cha aliyekuwa kinara wa ODM...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
  • Featured
Raila Odinga (RAO) afariki dunia huko India. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. R.I.P Papa. Utangulizi Raila Amolo Odinga ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri zaidi katika historia ya Kenya...
26 Reactions
135 Replies
5K Views
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Kenya Dr. William Ruto https://www.youtube.com/watch?v=YT87RClirPI Miongoni mwa Waliohudhuria mazishi ni Rais wa Kenya - Samweli Ruto Naibu Rais Kenya...
1 Reactions
2 Replies
306 Views
Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kwa sasa umefika katika uwanja wa michezo wa Kasarani kwa ajili ya kuagwa. Maafisa wa jeshi wamelazimika kufyatua risasi angani ili...
1 Reactions
4 Replies
228 Views
" I was with him when he took his last breath. He died in my arms, but not in the way people have been saying on social media. He passed away strong, with dignity and pride. You should be proud of...
2 Reactions
3 Replies
292 Views
Leo Oktoba 17, 2025, hafla ya kuuaga mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga, inaendelea katika Uwanja wa Nyayo, ikihudhuriwa na Rais William Ruto, viongozi mbalimbali, familia...
1 Reactions
2 Replies
318 Views
Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga ukiwa ukiagwa Bungeni kabla ya kuhamishiwa katika Uwanja wa Nyayo kwa Ibada ya Mazishi ya Kitaifa Soma pia TANZIA - Raila Amolo...
3 Reactions
4 Replies
327 Views
Shirika la Ndege la Kitaifa, Kenya Airways, limeongeza idadi ya safari zake kuelekea Kisumu wikiendi hii ili kukidhi ongezeko kubwa la mahitaji ya usafiri uliopo kwa sasa
1 Reactions
2 Replies
227 Views
Rais William Ruto ametia saini Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni wa mwaka 2024, unaoiruhusu serikali kuondoa au kufunga maudhui ya mtandaoni...
1 Reactions
6 Replies
349 Views
GT. Huyu jamaa alikuwa smart sana na wala hakuwa na mbwembwe. He was slow but sure. Kama siyo mambo.ya ukabila huyu jamaa alipaswa kuwa Rais wa kenya.
4 Reactions
7 Replies
293 Views
kitabu not yet uhuru kilichapishwa mwaka 1967 kikiandikwa na jaramogi oginga odinga, baba yake raila odinga. ni wasifu unaoeleza safari ya kisiasa ya kenya kuelekea uhuru na changamoto zilizofuata...
1 Reactions
1 Replies
178 Views
Umati wa watu ukielekea katika Uwanja wa Jomo Kenyatta mjini Mamboleo kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Waziri Mkuu wa zamani na kiongozi mahiri wa demokrasia Kenya, Raila Amolo Odinga...
1 Reactions
4 Replies
211 Views
Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amolo Odinga ukiwasli uwanja wa ndege Kisumu, ambapo baadae utafikishwa katika uwanja wa Jomo Kenyatta, Mamboleo
2 Reactions
1 Replies
156 Views
Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
0 Reactions
5 Replies
248 Views
Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India...
1 Reactions
3 Replies
204 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…