Kwa mujibu wa taarifa, miili 218 ambayo haijachukuliwa na wahusika au ndugu wa marehemu imehifadhiwa katika Mochwari ya Jiji la Nairobi na mingine 18 iko Mochwari ya Mama Lucy.
Wananchi...
Dah yaani Rais anateua IGP ila inabidi akathibitishwe na bunge na kumbuka siyo bunge la kina msukuma, huko kuna upinzani wa ODM.
Pamoja na matatizo baadhi waliyonayo hawa watu wametuacha mbali...
====
Tanzania – with a population of over 60 million – only has 16 specialists
Dar es Salaam. Tanzania faces a 97-percent shortage of neurosurgeons specialists, prompting well-heeled patients to...
Wakati Baraza la Mawaziri la Kenya lililoteuliwa wiki hii likisubiri kuidhinishwa na Bunge imebainika kuwa malipo ya mwezi kwa kila Waziri ni Ksh. 924,000 (Tsh 17,656,624).
Malipo hayo...
13 September 2022
Nairobi, Kenya
HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA
Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya...
Leo Sept. 27, 2022 Rais William Ruto amefanya kikao cha kwanza na Baraza la Mawaziri wa Serikali iliyopita na kisha kufanya uteuzi wa Baraza lake jipya linalojumuisha Mawaziri 21 ambao watasimamia...
Ukosoaji huyo umeanza kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter, huku Mbunge wa Kathiani, Robert Mbui akidai Rais anajivuta sana kutangaza Serikali yake wakati kuna mambo ya dharula yanaikumbuka...
Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022.
Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi...
Kiambu Governor Kimani Wamatangi (in white helmet) at Kirigiti, Kiambu where a six-storey building under construction collapsed killing a mother and her two children in an adjacent apartment...
Kuna uzi nimekutana nawo humu unaongelea kuhusu shule za serikali ambazo ni English medium, nikawa nachanganyikiwa, maana Watz haswa walalahoi wote huwa wameaminishwa Kingereza ni cha mkoloni mara...
Wafanyabiashara sasa wako huru kuondoa mizigo yao Mombasa na kutumia njia yoyote ya usafiri kusafirisha mizigo yao kutoka bandari ya Mombasa hadi Nairobi na maeneo mengine ya pembezoni.
Hii ni...
Rais William Ruto akanusha kwenye runinga madai kuwa atatawala Kenya kiimla kutokana na jinsi baadhi ya watu wa nchi hiyo, hasa waliokuwa wakipinga juhudi zake za kuwa Rais wanavyodhania.
Asema...
Zaidi ya watu 100 walikimbizwa Hospitali baada ya kula nyama ya ngamia aliyekufa. Baadhi ya watu wakiwemo watoto wamelazwa katika hospitali ya Nyambene na wengine walitibiwa na kuruhusiwa kurudi...
Trending news huko Kenya..
Kuna Tetesi kwamba Rais wa Kenya amewapiga Marufuku waliokuwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali Chini ya Serikali ya Kenyatta Kusafiri Nje ya Nchi mpaka kwa Kibali...
MY TAKE: Wakenya wengi wamianza kumtaka raise wao arejee Nyumbani ili kujenga uchumi kwa kutokea ndani ya nchi badala ya kuzurura nje ya nchi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Uainishaji wa Filamu (KFCB) Christopher Wambua amesema kuwa filamu zote zenye Maudhui ya Mahusiano au Mapenzi ya Jinsia moja, maarufu Kama LGBTQ+ ni kinyume...
Shirika la Viwango (KEBS) limezitaja aina hizo za mafuta yanayotakiwa kuondolewa madukani haraka kuwa ni Friji Safi na Garlic Oil, Fry Mate, Bahari Fry, Fresh Fri, Gold na Pure Olive Gold...
Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti...
Ni hivi, meli imeandikisha kwamba imetoa gesi Oman, kisha ikashusha Tanzania, na kawaida Watanzania walivyo, wakapokea freshi kichwa kichwa tu bila umakini au ukaguzi, hiyo gesi inapitishwa...