Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Mbunge wa Homa Bay Peter Kaluma amekamilisha Muswada unaotka kujitenga kwa Kaunti 40 kuunda Jamhuri ya watu wa Kenya Anataka Kaunti hizo kujitenga na Kenya kwa kuwa zimekuwa zikibaguliwa na kila...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kenya has failed to strike oil and gas deposits in the coastal strip that has for years been at the centre of an international border dispute with neighbouring Somalia. Seismic surveys at Mlima-1...
1 Reactions
4 Replies
791 Views
Katika mahojiano VOA Swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza Kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa Museveni kuandika kwenye Twitter utani wa kuivamia...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mtandao wa maadili juu ya virusi vya UKIMWI nchini Kenya (KELIN), Kliniki za wagonjwa wa VVU zipo kwenye maeneo ya wazi katika hosptali mbalimbali jambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KURA, on Friday, September 30, deployed a team of engineers to Tanzania to benchmark how the neighbouring country rolled out the project that improved their urban mobility. Led by engineer...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya tafukari ya muda mrefu nimefikia hitimisho William Samuoi Ruto mziki wake hauna majibu kwa hiyo ninamtangaza rasmi atakuwa mrithi wa Rais Uhuru Muigai Kenyatta. Akina Raia, Musalia...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kenya says the ICJ has no jurisdiction in Somalia sea dispute case In a case filed by Somalia over the contended potentially oil-rich seabed off the country and neighbour, Kenya’s Indian Ocean...
3 Reactions
164 Replies
25K Views
Kukamilika kwa mradi wa wa BRT, Usafiri wa Haraka wa Mabasi Nairobi kunacheleshwa na kutosekana kwa ufhadhili. Mfumo wa BRT ulitazamiwa kutoa suluhisho la kudumu la msongamano wa magari katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
MY TAKE: Nadhani Afrika inaanza kutafuta ufumbuzi wa matatizo yake kwa kutumia Elimu ya sayansi badala ya Elimu ya vijiweni na imani za dini na uchawi, hii ni dalili nzuri kwa mustakabali wa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ethiopia Thursday morning on his first tour of the region since taking office. President Ruto is also set to travel to Uganda and Tanzania. The agenda for the regional tour includes talks on...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mary Chebukati, mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, ni mmoja wa watu 477 ambao wameorodheshwa kwa nyadhifa 49 za Makatibu Wakuu (PS) na Tume ya Utumishi...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
6 October 2022 Namanga, Kajiado Kenya KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
MY TAKE: Kwahiyo hata baada ya mahakama ya EA kusema kwamba wamasai hawana haki bado hawa wakenya bado wanaendeleza chuki zao kwa Tanzania?, hovyo Sana Hawa jamaa Sent from my itel L5007 using...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanje Faridah (42) na Cilian Awar Nyanzangu wanashikiliwa na mamlaka Jijini Mumbai, baada ya kupatikana na dawa zinazoaminika kuwa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati...
1 Reactions
0 Replies
622 Views
Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012. Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katikati ya mbuga ya wanyama ya Arbedare iliyopo nchini Kenya, kuna hoteli inayoitwa Treetops. (Pichani). Humo ndimo Eliza alitwaa kiti cha Umalkia wa Uingereza na kupata hadhi ya kuitwa Malkia...
4 Reactions
3 Replies
941 Views
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna ametangaza kurejea Nchini Kenya usiku wa Octoba 25, 2022. Amesema kuwa ataondoka Toronto Octoba 24, 2022 na itakuwa ni safari...
0 Reactions
4 Replies
854 Views
Mshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe. Kwa mara ya kwanza Kenya historia inaenda kuandikwa leo...
13 Reactions
168 Replies
13K Views
Nilitegemea Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani. Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Billion 300 za Kenya ni Tsh 6 trilion hizi ni pesa nyingi sana kuziondoa kwenye matumizi ya kawaida ya Serikali. Lalini point yakr ni kwamba hawawezi endelea kukopa kugharamia matumizi ya kawaida...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom