Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Baadhi ya Watanzania mnakesha humu mkiponda na kutukana chombo cha Mkenya kisa wivu wa kijinga wa Kiafrika, huku Marekani anatazamia kurusha helikopta ya kwanza duniani kwenda sayari ya Mars...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
JAMANI wapendwa mimi ni nijana Mtanzania nina miaka 24 ninatafta kazi yeyote ilio halali jamani. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
450 Views
Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo. Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda...
9 Reactions
8 Replies
2K Views
Noma sana. Wanakagua vitu vingi ikiwemo bajeti iliyotengwa kwa ajili ya elimu. ============ Educational growth in African countries ensures that better academic requirements can be implemented...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kati ya Miili 233 inayotarajiwa kuzikwa katika kaburi moja Ndani ya Wiki 3 zijazo, kwa sababu hakuna aliyejitokeza kuidai Kwa ajili ya kuzikwa, 217 ni ya Watoto na 16 ya watu wazima. Miili hiyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni majibu ya Rais William Ruto kwa Raila Odinga aliyetaka wapelelezi hao kuchunguza mauaji ya aliyekuwa Meneja wa Mifumo ya TEHAMA wa Tume ya Uchaguzi IEBC mwaka 2017. Ruto amesema "Hatuhitaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Majirani, poleni sana. Apparently English language proficiency is not working out for you guys.
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Mbali na Tembo pia kuna Wanyamapori wengine wamekufa kati ya Februari hadi Oktoba 2022, ikiwa ni rekodi mbaya ndani ya miaka 40 iliyopita katika tasnia ya Utalii Nchini humo. Licha ya kuwa mvua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya marubani wa Kenya Airways (KQ) kufanya mgomo, wafanyakazi wengine kupitia chama chao cha KAWU wanatarajia kusitisha majukumu yao kuanzia Saa mbili usiku wa leo Novrmba 5, 2022. Wamesema...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama...
0 Reactions
3 Replies
862 Views
MY TAKE: Hii ndio hasara ya kuwa na majirani wa hovyo
3 Reactions
44 Replies
3K Views
MY TAKE: Hii inazidi kudhihirisha kwamba, bila Tanzania hakuna linalowezekana ndani ya EAC.
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya DRC kujiunga EAC, imebidi mataifa kwenye jumuiya yafanye maamuzi ya kuwasaidia. ======== Kenya's President William Ruto (left) on November 2, 2022 inspects some of vehicles to be used...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Imedaiwa mpango huo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo Novemba 3, 2022 baada ya mazungumzo ya wiki mbili baina ya pande mbili kutopata muafaka. Marubani wanataka warejeshewe mchango wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
20 October 2022 Meru, Kenya Gavana Kawira Mwangaza ameapa kuikomboa County ya Meru toka mikononi mwa vikundi vilivyozowea kujineemesha kinyume cha sheria. Akiongea kuhusu azma yake ya safisha...
1 Reactions
0 Replies
550 Views
Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 34 anayedaiwa kumuua mtoto wake mchanga aliyejifungua Julai 16 mwaka huu na kuuficha mwili ndani ya nyumba yake kwa zaidi ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Amesisitiza dhamira ya Serikali yake katika kukomesha Mauaji ya kiholela nchini humo, kwa kuagiza Mipango ya Mageuzi ya Jeshi hilo na uangalizi wa Raia. Haya yanajiri siku chache tu baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom