Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Nyeri, Kenya Naibu Rais ameachilia kombora la utani kwa wanaume wa eneo la Kati, akidai wameshindwa na majukumu muhimu ya ndoa kwa sababu ya kutekwa na ulevi. Bw Gachagua alisema wanaume wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Detectives from the Homicide Unit have identified 12 graves in controversial pastor Paul Mackenzie's land at Shakahola, Magarini Sub-County of Kilifi County. The homicide detectives from Nairobi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Prof. Waja-Kaya alikuwa akitoa hutoba yake huko Kenya, na alitoa maneno hayo, maneno haya, kwa maoni yangu, ndio maono ya Dunia kuhusu JPM. Yaani wanaamini kifo chake ni adhabu aliyoipata kutoka...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakenya wengi sana wanakuja kwenye hospitali za Mkoa wa Kilimanjaro. Naomba kuuliza, hivi nyie huko kwenu hamna hospitali au shida ni nini hasa? Kipindi kile Magufuli anataka kuleta Madaktari wa...
12 Reactions
66 Replies
4K Views
It looks like all the financial instruments have been finalized & construction over the troubled Likoni channel is about to start. LIKKKONI by Rico Mwash, on Flickr LIK3by Rico Mwash, on Flickr
7 Reactions
495 Replies
88K Views
https://www.emporis.com/city/100051/nairobi-kenya https://www.emporis.com/city/100151/dar-es-salaam-tanzania
8 Reactions
81 Replies
12K Views
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya ndani inayoongozwa na Profesa Kithure Kindiki imetangaza Ijumaa ya Aprili 21, 2023 kuwa Siku Kuu, kusherehekea Idd-ul-fitr.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta Nairobi tu. Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni Nairobi tu. Tukubali ukweli Nairobi ni jiji
13 Reactions
84 Replies
6K Views
Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga...
10 Reactions
126 Replies
21K Views
MY TAKE: kwa wale Wakenya ambao hawajafika Tanzania, na bado wanalinganisha barabara za Kenya na Tanzania, piteni huku, someni hii article hadi mwisho. ========= First impressions of Zambia To...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Serikali ya Uingereza imemteua Neil Wigan kuwa Balozi mpya wa taifa hilo nchini Kenya, akichukua nafasi ya Jane Marriott ambaye amedumu kwa miaka 4. Balozi Wigan anatarajiwa kuanza kazi rasmi...
0 Reactions
4 Replies
681 Views
Tukiwa tumebakiza Juma moja kuelekea sikukuu za Eid,sasa kuanzia kesho bei ya Chumvi inakwenda kupanda bei Wanapoelekea majirani zetu sasa hata sindano za kushomea zitapanda bei ===== The price...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yaliyomo: ✓ Siasa za ICC zaibua tumbo joto serikalini. ✓ Wizara ya fedha kukimbilia mkopo wa Eurobond. ✓ Upinzani watishia kususia mazungumzo na Serikali.
1 Reactions
0 Replies
804 Views
KENYA HOLLOW DEMOCRACY Baada ya Raila kuomba servers za matokeo ya urais ziweke wazi ili ijulikane wazi kumetokea kigugumizi kikubwa kwenye tume ya uchaguzi Swali la kujiuliza tume ya uchaguzi...
0 Reactions
9 Replies
962 Views
Mwaka 2013 Kamati ya Mambo ya Nje na Usalama ya Bunge la Kenya liliwata Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya (NIC)kupata maelezo ya kina juu ya tukio la Wastegate baada ya kunusa udhaifu wa...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkenya Hellen Obiri ameshinda mbio za masafa marefu za Boston Marathon baada ya kuandikisha muda wa 2:21:38. Bingwa huyo wa olimpiki katika mbio za mita 5000 alishiriki marathon kwa mara kwanza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amesema kuwa hatishiki na barua iliyotumwa kwenda kwa Mahakama ya kimataifa ICC na upinzani. Upinzani kupitia Muungano wa Azimio unaoongozwa na Raila...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Tazama baadhi ya waislamu kutoka Kenya walivyonakili safari yao kutoka Nairobi kuelekea Dar Es Salaam, kuhudhuria mashindano makubwa ya Qur'an yaliyoandaliwa na Al Hikma Foundation. Link[emoji1427]
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…