Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Hivi Kuna uwezekano wa kupata muekezaji kuwekeza kwenye eneo /kujenga jengo kwaajili ya makazi au biashara ama vyote kwa pamoja?
0 Reactions
5 Replies
458 Views
Wadau naomba mnisaidie ni procedure zipi zinafuatwa ili kupata hati ya kiwanja Vitu vinavyotakiwa.
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Nimeipenda nyumba hii nikawaz nibadilishe iwe frem lakini huku madirisha ya mbele nayabadilisha kuwa mlango , jumla inakuwa na frem 3 . Buget yangu ya ujenzi mpaka kupaua bila finishing ni milion...
0 Reactions
6 Replies
707 Views
Wanajf habari zenu nna eneo langu nataka nianze ujenzi so nikaamua kutafuta karamani simple cha rooms tatu but nikaona nishare nanyi wadau nini cha kuongeza nini cha kupunguza kwenye ramani hii...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wakuu ... Hapa tumepopanga nyumba inatatizo la earth rod, unatakiwa kubadilisha, Sasa nimezunguka dukani kuuliza naambiwa Kuna za 8000, Hadi 25000, kwa mafundi wa umeme ni earth rod ipi...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari, Nyumba imeezekwa takriban mwaka sasa, bati Gauge 28 ya Alaf, Tatizo ni kelele za bati pindi jua libapowaka na usiku likipoa ( thermal expansion noise). Nashindwa kuelewa, tatizo ni fundi...
1 Reactions
4 Replies
648 Views
  • Redirect
Ndugu zangu naomba mnipe mwongozo pa kuanzia mimi nimenunua kiwanja kutoka kwenye kampuni inayouza viwanja lakini wao walikuwa bado hawajavirasimisha ila walikuwa waneshavipima wao tu tukuvikata...
0 Reactions
Replies
Views
First of all, heshima kwa wote waliojenga. Hoja zangu hazimaanishi kuwakosoa ila ni kutofautiana na mapendeleo. Mimi binafsi sipendelei aina ya ujenzi ufuatayo: ■ Uongezaji kimo wa nyumba kwa...
22 Reactions
54 Replies
6K Views
Kuna vitu ambavyo zamani kidogo vilikuwa vinafanyika katika ujenzi na sasa hivi vimeonekana ni vya kizamani na wengi hawavifanyi tena mfano 1. Kidirisha kidogo kutoka jikoni kwenda Dinning cha...
10 Reactions
50 Replies
7K Views
Naomba kujuzwa kuhusiana na bei ya bati tajwa hapo juu geji 28 futi kumi Kwa kampuni ya alafu au kiboko imara
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau kwa yoyote anayeweza kunipa mawasiliano ya fundi mzuri wa kupaua anayepatikana Mwanza naomba namba tafadhali
0 Reactions
4 Replies
867 Views
Nyumba ya mbao kuna vitu havitakuwepo. Gharama ya kubeba tofali ulikozinunulia au kama umefyatulia nyumbani hakutakuwepo na wasaidizi wengi wa fundi unaweza kuwa mwenyewe msaidizi. Kokoto na...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habarini za asubuhi, Nashukuru Mungu nimemaliza kujenga boma na sasa nimebakiza kupaua km Mungu atajilaalia. Sasa nataka kupaua na bati za Alaf hasa zile zenye umbo km vigae. Naomba...
4 Reactions
40 Replies
13K Views
Wasalaam, Msaada kwenye tuta ili kuepukana na changamoto ya kuuziwa mbao zisizo na ubora kwa kuaminishwa kuwa zina dawa na baada ya muda mfupi wadudu waharibifu wanaanza kubungua mbao. Mwenye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wadau. Naomba niende kweny maada moja kwa moja. Kitaalamu unaweza kushauri mjenzi atumie kipi kati ya mlango wa mbao au chuma Mfano wa mlango wa chuma huo hapo chini
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapo katikati pana uwazi wenye upana wa 3m hadi 3m
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako. Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye...
10 Reactions
63 Replies
4K Views
Nyumba hii tunafumua bati tunapiga kozi moja baadae tunaezeka kisasa fundi alipiga bati kizamani sisi kazi yetu hapa kufanya maajabu ukitaka kazi zetu Tumeokoka tunapiga kazi safi hatuna shida...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu ndoto yangu mwenyezi Mungu akinijalia uzima ni lazima nijenge kighorofa chumba kimoja tu! Kutema mate ukiwa juu aisee kuna raha yake! Kupiga bao ama kushangilia goli ukiwa juu! Wataalamu...
11 Reactions
83 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…