🏡 Build Your Dream Home with a Reliable Partner!
Looking for a trustworthy construction company to bring your vision to life?
Mkuzibuilders is here for you — reliable, professional, and committed...
Kama unapenda vitu vya kipekee na ubunifu uliotukuka, kamwe huwezi kukutana na kazi hizi kisha ukaacha kutia neno.. Hapa ni ubunifu, usanifu na uchongaji uliotukuka... Siishi kuzitamani hizi...
Hello wajuzi.
Ktk tafiti zangu, nimekuwa ninawaza kujenga Get away houses, Airbnb, na ki sehemu kwa ajili ya watu wanaotaka kuishi ktk mazingira ya nature, around sehemu fulani hivi Pwani.
Mwanzo...
Eeeh bana habari za saa hii mkuu, heshima yenu.
Nataka nikapange mitaa ya kwa aziziali, tafadhali naombeni A,B,C zenu kuhusiana na kipande icho.
Asante sana.
THIS DESIGN HAVE 3BEDROOMS (MPAKA KUPAUA 40M)
1. SPECIOUS LOUNGE
2.DINING OPEN TO LOUNGE
3.KITCHEN OPEN TO DINING
4.STORE
5.2SELF BEDROOMS
6.SPECIOUS M/BEDROOM WITH CLOSET AND BIG BATHROOM
PLOT...
WAZIRI ULEGA AKUTANA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amekutana na mtoto Ridhiwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13 kutoka Kibaigwa...
Kwa wale wajenzi wa nyumba zinazotumia paaa la ‘Hidden roof’, huwa wanalazimika kuingia gharama za mamilioni yabpesa ili kununua rangi ‘specialised’ zinazoweza kuhimili mvua bila kubanduka...
Wakuu,
Naulizia gharama ya PVC board za dari nje ya nyumba.
Zinauzwa sh. ngapi?
Kwa nyumba za vyumba vitatu, sebule, jiko, dinning room & vyoo viwili, gharama ya ufundi ni Sh. ngapi?
Msaada ili...
Naomba anayefahamu kuhusu maana ya X ya kijani ni Nini?
Maana hapo mwanzo mwaka 2006 nyumba yetu ilivunjwa sehemu yote ya mbele lkn safar hii wamekuja kuweka X ya Kijani. Nyumba yetu hipo...
Huwa naangalia video za vita hizo nchi wanajenga nyumba nzuri sana na kwa mpangilio mzuri sana.
Wana ma-vita yasiyoisha lakini wanaonekana ni watu wenye mipango mizuri sana hasa kwenye Ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.