Hii ofa huwezi kuipata sehemu yeyote..Njoo inbox nikufungie mlango mzuri wa uPVC kwa bei ya ofa
Milango ya PVC ni mizuri kwa chooni na kwa ofisi yako na hata nyumban kwako.
Ubora wake ni kwamba...
Wadau wa ujenzi nilikuwa nahitaji madirisha ya aluminum ila kuna mdau moja anayehusika amenijibu kuwa bei dirisha la aluminum ya rangi ya silver nitofauti na ya rangi nyeusi na kwamba nyeusi...
kama uko maeneo hayoo tuwasiliane kuna jamaa anahitaji madirisha makubwa matatu ya aina hii
Piga kwenye hii namba
0792797806
Robinson
Mulize kuna Magriill ya kutengeneza kibaha kwa Mathias...
Naitwa James ni mbobezi wa kuchora ramani za nyumba kwa miaka mingi
Leo nakushauri jambo kubwa na zito ambalo ukizingatia utajenga nyumba kwa ghalama naafuu
Kwanza kama unataka raman za nyumba...
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je...
Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam.
Vijana hawa walikuwa...
wale wanaopenda unique design
this house design have
1. lounge with pool view ,dinning, open kitchen with pantry
2. 3self bedrooms with pool view
3.master bedroom with pool view and closet
4...
Mko poa maboss zangu..
Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa.
Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani.
Bei hutokana na ukubwa uutakao boss..
Za kuhamishika zinazobeba...
Kuna wateja kadhaa,nishakutana nao wakiuliza juu ya kipindi gani cha mwaka ni kizuri kwa ajili ya wao kuanza ujenzi....
Nitafanya uchambuzi kwa kuzingatia vipindi vinne vya mwaka.
4.MASIKA...
FAHAMU ZAIDI:
Corrugated / Migongo Midogo rangi ya carrot ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na...
Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM,
Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo...
Great thinkers.
Nimekuwa nikiangalia mtindo wetu wa kuezeka haya mahekalu naona kama unaongeza gharama zisizokuwa za lazima kwa mfano.
1. Nyumba yenye konakona nyingi matokeo yake mbao...