Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri.
Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango...
Wakuu habari za mwaka huu wa 2022!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimeshajenga msingi tu.
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining...
Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele.
Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza...
Jana niliafikiana na fundi kazi ya kutengeneza geti. Akanipa mchanganuo wa vifaa, ambapo miongoni mwa mahitaji ni square pipes 11 za inch. 1.5.
Fundi alinitajia bei ya Sh. 27,000/- kwa kila moja...
Wakuu habari zenu naombeni msaada wa mawazo Nina mpango wa kujenga kighorofa kimoja.
Jinsi niyakavyo ni kujenga chini jiko halafu kwa juu yake nataka kuweka chumba cha master yaan chumba na choo...
Habari za muda wakuu,
Naomba kupata mchanganuo wa gharama, kwa mwenye uzoefu.
Kiwanja kina ukubwa wa 1050sqm, je ni wire kiasi gani(na ghalama yake) na nguzo kias gani, zinawez kutosha...
Wazoefu wa ujenzi,
Nipeni makadirio ya gharama inayostahili kwa labour charge ya
Kufunga gyspum boards na mikanda yake,
Kuskim gyspum na ukuta,
Na
Kupaka rangi,
Kwa chumba cha futi 11×11.
Wakuu,
Jirani yangu ameniambia kuwa geti langu la futi 10 linaweza kupelekea gari kugonga nguzo wakati wa kuingia au kutoka.
Hii ni kweli?
Kwa sasa sina gari, Ila naomba mnipe uzoefu kabla...
Habari za wakati huu wakuu
Kwa waliowahi kutumia au wanaojua juu ya mabati tajwa hapo juu. Vipi kuhusu ubora hasa kwa upande wa kupauka
Natanguliza shukrani.
Na je, una gharama nafuu, uko certified!?. Njoo tuyajenge kuna kazi ya ghorofa moja Bunju Moga wiki ijayo kazi inatakiwa ianze. Kila kitu kipo tayari, material, labour fees, permits, vitendea...
Juzi nililikua site kwangu Buhongwa Mwanza kiwanja kilipimwa viwanja viwili najiandaa na ujenzi nimeshasogeza baadhi ya material kama tofari na mawe kama trip 8 iv sasa jamaa mmoja alieniletea...
Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe?
note;Fundi kanipa gharama yake ya kujenga msingi pekee kwa ukubwa huu wa nyumba ni...
Kama ilivo kwenye utangulizi, mdau anaomba kufahamu tofauti ya mbao za Buhindi na za Iringa manake wauza mbao ukiwaambia watoe tofauti wanakuwa waswahili tu hawasemi wazi wazi.... msaada kwenu...
Habari kwa wajuzi wa majengo,nyumba,apartment naomba kujua gharama za hii ramani kwa ujumla. Nature ya eneo lako ni tambarare, kumbuka makadirio ya KIASI CHA PESA TU.
PICHA NUMBER 1
PICHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.