Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wana jf naomba kujua tofauti ya jaji,hakimu na wakili na majukumu yao.
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Tuanze wapi kwani ni muda sasa mwajiri wetu ajatupa mshahara. tunaomba ushauri wenu ili kujua wapi pa kuanzia. nikiacha kazi natakiwakulipwa ndani ya muda gani? msaada jamani
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Habari, Naombeni kujuzwa kisheria katika hili. Je, inawezekana kufungua kesi ya madai katika mahakama ya wilaya na kisha mimi mdai nikaweka wakili wa kuniwakilisha katika kesi hiyo pasipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari,ni muda gani natakiwa kusubiri ili kupata fedha zangu za nssf pindi ninapokua nimepunguzwa kazi na mwajiri wangu?kwani nimepunguzwa kazi sababu mwajiri wangu ameishiwa kazi naitaji pesa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Alifikishwa hapo polisi central mwanza jumamosi tar 10/8/2013 na hadi leo hii ijumaa tarehe 16/8/2013 bado yupo polisi. Binti huyo wa miaka ipatayo 14 anayesoma suke ya sekondari Buhongwa kidato...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, napenda kujua kama inawezekana kwa hapa Tanzania kuanzisha taasisi/kampuni binafsi ya kufanya upelelezi wa makosa ya jinai na hatimae kuandaa mashtaka na kusimamia kesi hizo mahakamani...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Napenda kutoa shukrani kwa kupata nafasi ya kuwa mmoja wa JF,mimi nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mtu binafsi hapa mjini toka nianze kazi sijawahi pata mkataba wa kazi na toka nianze kazi sasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwajiri hajalipa michango yangu PPF miaka.2. Kila akikumbusha anadai hana fedha na inaonesha hilo sio priority kwake! Naomba kujua cha kufanya kisheria ili kumlazimisha anilipe haraka nitakapoacha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua kiundani sheria ya ndoa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimesikitika sana na sasa hiki chombo cha NSSF kitakuwa kimya mpaka lini kwani kuna baadhi ya watu wameingia na kusema kuwa wameacha kazi na hali bado ni wafanya kazi na wanapewa mafao yao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chadema,Dk Willbrod Slaa. KWA UFUPI Akisoma maelezo ya awali, Ndimbo alidai kuwa kati ya Aprili na Mei, 2012, mshtakiwa alijitambulisha kwa Dk Slaa, Lema na Profesa Safari kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Maombi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), ya kukata rufaa dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam (RCO), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Abdallah Zombe na...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Wanajamii. naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia Tanzania law of Contract Kwenye PDF aniwekee hapa. Natanguliza shukurani hasa kwa Mwanakijiji
1 Reactions
11 Replies
20K Views
Historic ruling means Canadian mining company to be tried on home soil for abuses abroadBY LIAM BARRINGTON-BUSH JEN WILTON | JULY 24, 2013 TORONTO – A ruling made on Monday by Supreme Court...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu wana JF. Kuna mtu ameniomba msaada wa ushauri, nimeshindwa kumshauri maana mambo ya sheria sijui. Rafiki yake anataka kumuuzia nyumba iliyojengwa kwenye eneo ambalo bado halijapimwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeangalia video ya Jicho Pevu (Jicho Pevu: Ghururi ya Saitoti - Uchunguzi wa kifo cha Saitoti) inayorushwa na KTN Kenya. Ukiiangalia na ukalinganisha na yanayojiri Tanzania, kuna mambo mengi...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Serikali yapitia sheria ya kemikali kudhibiti matumizi mabaya ya tindikali. Kufuatia matukio ya matumizi mabaya ya kemikali ikiwemo tindikali kushamiri hapa nchini serikali imesema inafanya...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Sheria ni kitu cha muhimu katika nchi yeyote. Sheria zinapokuwa sahihi na zinazokubalika husababisha nchi husika kuepuka misukosuko mbalimbali ya kijamii. Pamoja na uzuri wa sheria za nchi yetu Ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je sheria ya ndoa inasemaje kuhusu mwanaume aliyetelekezwa na kukimbiwa na mke wake baada ya mwaume kupata ajali iliyo sababisha kuwa mremavu na kuwa tegemezi kwa mkewe je mwaume anayo haki ya...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
habari za saa hizi wana jamvi hili.kwanza nawashukuru kwa michango mnayotoa humu ktk kufungua ufahamu wa wasomaji. mie leo naomba kuuliza hivi:iwapo mahakama itathibitisha pasi na shaka(katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…