Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Mida hii niko kwenye tv hapa naangalia mambo yanavyo endelea huko kwenye mahakama ya kimataifa ICC huko The huge naona hawa mawakili hupande wa utetezi wamejipanga sana naomba kuuliza hivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu yangu kahukumiwa tayali.tunataka tukate rufaa.kila tunapo omba nakala ya hukumu,tunaambiwa fail halipo analo hakimu aliye toa hukumu.je wapi naweza peleka malalamiko yangu?kabla ya mda wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu, hivi mauaji ya albino Tanzania, yanaweza kuwa na sufficient ingredients za kosa la genocide ambalo limo kwenye sheria ya mkataba wa Roma (ICC statute) ili wat wanaooganise au kuua albino...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Mirathi ni utaratibu mzima unaotumika katika kugawa mali ya marehemu pale anapofariki. Msimamizi wa mirathi ndiye mwenye jukumu kubwa la kuainisha mali iliyoachwa na marehemu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu wa kutoka Rwanda likimalizika ni vyema na wahamiaji haramu kutoka nchi zingine nao wakasakwa na kutakiwa kuondoka. Zoezi lisiishie kwa hao tu. watanzania...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hivi ikitokea mtu unaendesha chombo cha moto km vile pkpk au gari kwa bahati mbaya mbele yako akakatza mfugo wa nyumbn km vile ng'ombe au kuku kwa ghafla na ukashndwa kufnga break nakumgonga Je...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
KATIKA hali isiyo ya kawaida, kijana Faizi Haji Juma (22), mkazi wa Mchanga wa Kwale Wilaya ya Chakechake, Pemba aliwashangaza wananchi baada ya kuwatoroka askari waliokuwa wamemdhibiti ndani ya...
1 Reactions
1 Replies
985 Views
KWA UFUPI Ripoti ya CPJ inasema kutokana na mashambulizi dhidi ya wanahabari baadhi yao wameamua kufyata mkia. Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania mara nyingi huwa inapongezwa na kumwagiwa sifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu. Nahitaji kusoma sheria za kazi na ajira je chuo gani kwa hapa nyumbani nitapata programme hiyo? na sifa zinazohitajika ni zipi? nahitaji post graduate diploma. kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeamini kweli Uwanja wa Ndege wa Airport Dar DANGURO LA Kupitishia madawa ya Kulevya BINTI MMOJA AMEKAMATWA NA MADAW AYA KULEVYA JIONI HII PALE UWANJA WA NDEGE WA AIRPORT BINTI HUYO MANASHATI...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Msaada wa kujiuliza ni nini? Hatima ya viongozi wa kenya waliofikishwa katika MAHAKAMA ya UHALIFU WA KIVITA endapo watapatikana na hatia ? kwa mujibu wa sheria gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A alifunga ndoa na Am, baada ya miaka mitatu wakafarakana na A kukimbilia kwao Tanga ambako alikutana na mpenzi wake wa zamani Ab wakafunga ndoa bila ya kuvunja ndoa na Am. Am anajua kuwa baada ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa msaad wa kusajili kampuni piga 0713463004
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Ni jambo la kusikitisha sana kuona kwamba hili tatizo linaendelea kukua siku hadi siku. Kuna mwanachama mmoja alilalamika majuzi kuhusu huu mtindo ambao ofisini kwake walivunja hadi choo! Haya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF! CDM karibia kila mkoa wana kesi na matatizo kwenye mahakama na polisi Tanzania. Tanzania siasa za vyama vingi imeanza toka 1992, mbona ni wao tu wana kesi,vurugu na matatizo hapa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KWA UFUPI “Ninataka kuwaeleza kuwa mwondoke kwa kuwa Sheikh Ponda hakufikishwa mahakamani hapa leo hadi Septemba 17 atakapoletwa kwa ajili ya kutolewa kwa uamuzi wa dhamana,” alisema Hakimu...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
wana jamvi,ninaomba msaada kwa mtu anayejua kuhusu hili lakini kwa kila hoja au ushauri awe na legal authorities.. SWALI: Endapo mshitakiwa wa kosa la jinai (theft) alikamatwa akawekwa chini ya...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Nimetoka kumwangalia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi kwenye ITV Mheshimiwa Patrick Rutabanzibwa akijitetea kutokana na tuhuma nyingi zinazomkabili wizarani...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom