Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

i am thinking of the three government as proposed by constitutional committee if passed. what will be the legal status of the three presidents in international arena
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Kosa kubwa tulilolifanya enzi zile ni kuwaangalia watanzania wenzetu wakiyaibia mashirika yetu ya umma kama RTC, NMC, Sukari, Sukita, n.k tukidhani hayatuhusu. Baada ya mashirika yale kufa na...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Mdogo wangu anategemea kumaliza diploma ya sheria Eckenforde University. Anaweza kupata mkopo akitaka kusoma LLB? Vipi taratibu na sifa za kujiunga chuo cha Mahakama?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watu wamevamia eneo langu hekari zaidi ya 30 na kuharibu miti na kulima,zaidi wananitishia maisha, nilifungua kesi ya uharibifu wa mali mahakama ya mwanzo lkn Hukumu ilitoka kuwa nikafungue...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yeyote mwenye link/document inayoonyesha Service Scheme ya Immigration Department of any east African country
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Ilikuwa jana majira ya jioni,moto ulionekana kuunguza mbuga katika eneo la Jeshi Kikosi cha Ihare nyuma ya Uwanja wa Ndege Jijini Mwanza. Abiria tulishushwa ndani ya Bus na Askari wa Jeshi la...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajf nisaidien, katika sheria ya ndoa mke na mume ni kitu kimoja, je nichukue hatua gani ninapokwamishwa kuhama kumfuata mke wangu alipo? Au sheria kiutumishi inatambua mke atamfuata mume tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SHEIK PONDA AFIKISHWA MAHAKAMANI TENA.....KESI YAAAHIRISHWA HADI SEPTEMBA 11 Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda jana alisababisha kusimama kwa shughuli za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Eti naombeni ufafanuzi kuhusu hili eti mtu aliyefunga ndoa Kanisani (yaani ndoa ya kikristo) baada ya muda kama miaka mitatu ikatokea kutoelewana wakatengana eti kuna uwezekano wa hiyo ndoa...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Wakuu, kwa muda mrefu yamekuwepo malalamiko kuwa wakenya/makampuni na/au taasisi za Kenya wamekuwa wakiilaghai dunia kwamba Mlima Kilimanjaro na mbuga ya Serengeti viko nchini kwao. kwa ulaghai...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Leo nimekwenda kumtembelea rafiki yangu office kwakwe muda mcheche polis wakaingia kwenye hiyo office na kumkamata yule rafiki yangu na polis wakataka kunichukua na mimi hapo ndio nikawauliza mimi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikua na kesi ya madai mahakama ya mwanzo ,nilimshitaki msimamizi wa mirathi kwa kuuza kiwanja cha mirathi,ila yeye akamwambia hakimu kuwa alishafanya mgawanyo wakati sio kweli,akaambiwa apeleke...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna dada yangu kazaa watoto wawili na mwanaume ambaye hakufunga naye ndoa ya kimila wala ya kikanisa ila waliishi pamoja kwa miaka 6. kwa sasa wameachana tangu 2005 wakati huo first born alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa wa janvi wa moro mtujuze kesi ya ponda tafadhali
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Wakuu naombeni msaada wenu, Kuna mteja wa Bank moja wapo hapa tanzania yeye amefika bank akabaini kuwa salio lake limepungua kupita kiasi, baada ya kufuatilia akajibiwa kuwa fedha yake imetolewa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za asubuhi wakuu, kama kichwa cha mada kinavyojieleza, Tanzania tumekuwa tukishuhudia ukiukwaji wa haki za mlaji katika maeneo mbalimbali. Kwa sasa kuna jumbe za simu zinawafikia watumiaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha jana imekataa ombi la hati ya dharura ya dhamana ya mke wa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Janeth Jackson (32), anayedaiwa kupanga njama za kumuua...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
TOEFL/IELTmwenye uzoefu wa haya majaribio ya kimombo anipe uzoefu tafadhali... Gharama,wapi inatolewa hapa bongo, maandalizi yake ili ufaulu vyema N.K. Shukrani sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni story ndefu kidogo lakini kwa ufupi ni kwamba bosi wangu wa mradi-Muhindi(Project Manager) kanishutumu mimi kama mwizi iliyopelekea kuninyima allowances zangu na kunipa barua ya onyo(Memo)...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndoa ya mdogo wangu imevunjika (ameachana/kutengana na mke wake),jamani sasa yeye ni mkristo na ndoa kikristu hiavunjiki ila anataka kutoa talaka kwa kufuata sheria za mahakama,tunaomba mtusaidie...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom