Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa (TAKUKURU) inawahoji watumishi kadhaa wa idara ya fedha waliohusika kuhizinisha malipo yasiyo halali ya Tsh 800,000,000/= (milioni mia nane) kwa kampuni ya...
Kabla sijaingia shule ya sheria nilikuwa nashangaa kuona wingu la wanafunzi wakifeli, lakini sasa baada ya kuingia nimeona kwa nini watu wanafeli. Sababu kubwa ni mrundikano wa masomo na ratiba...
Habari wana JF, nina rafiki yangu ana kesi mahakamani kwa tuhuma ya kushiriki katika tukio la wizi wa pikipiki tukio limetokea January mwaka huu yeye pamoja na wenzake wawili wapo nje kwa dhamana...
Habari za asubuhi wapendwa wana JF,
Kuna phrase hasa kwenye Law of Contract inaitwa Quid Pro Quo ikiwa inamaanisha Nothing goes for Nothing.
Kwangu mimi hii phrase nimekua nikiichukulia na utata...
Habari zenu wanajf.
Ni sababu zipi zinapelekea mtu kupoteza uraia wa Tanzania? Mtu amekaa nje ya Tanzania zaidi ya miaka 10 inaweza kuwa sababu uraia wake kupotea? Ni sababu zilipi zilizopo...
Wanasheria,
Nnavyo andika hivi nyumbani kunamgogoro mkubwa,mama yangu ni mjane,ambae marehem alimuachia nyumba na watt wawili kwenye ndoa.
Tofauti na hapo baba alizaa na wakina mama wengine...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya taasisi zinawatumia wanasheria ambao hawajaenda law school wakati wameajiliwa muda mrefu na wamekuwa wakiomba kwenda kujiendeleza lakini hawapewi nafasi hiyo hata...
habari wadau naitaji kununua law reports kuanzia mwaka 1980-2011 je naweza zipata wapi na kwa bei gani kwa kila moja mwenye ufahamu tafadhali nijuze na mahala zinapo patikana tofauti na duka la...
Nina kesi ya ardhi ambayo imekuwa under litigation for 24 years. In the primary court, I won. On appeal, I lost and at the High Court, I won my appeal. My opponent on application for leave to...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.PICHA |MAKTABA
KWA UFUPI
Ni kuhusu pingamizi lililowekwa na Serikali la ama iendelee kusikilizwa au itupwe.
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana...
Habarii zenu wanajukwaa
Samahani ninaomba kwa yoyote atakaekua na any materials on corruption especially in an aspect whistleblowing protection both international and domestic.
Much regards..
Ndugu wanasheria niwekeni sawa kwa hili,
Kampuni yetu ina nyumba mjini, na mmoja wa wanahisa alikopa katika taasisi fulani na akaweka hati ya kampuni (bila makubaliano).
sasa mkopo hakumalizika...
Habari ndugu, jamaa na marafiki wote humu.
Leo nimeona niwe mkweli na muwazi ili kuepusha matatizo ntakayoyapata kama nisipouliza hili jambo. Kiukweli mimi jamani sijawahi kununua kiwanja...
Wanajamvi,
Naomba mwongozo hapa. Nimesoma mara kadhaa kwenye magazeti na mitandao ya kijamii kuwa watu wamefumaniwa na wamepelekwa polisi kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka. Naomba niulize maswali...
Wanajamii forum,naombeni kuuliza.Km mtu unataka kuandika barua ya kuacha kazi na mshahara huwa nalipwa tarehe 24.Je,barua naweza kuipeleka kwa mwajiri wangu tarehe 23? Au ni 24? Kwa malengo...
Nilimpa pesa mfanyakazi mmoja wa wizara fulani ili anisaidie kupata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.
Sasa ameshindwa kufanya hiyo kazi na hataki kurudisha pesa,
je naanzia wapi...
Salaam kwenu wana jukwaa hilii la sheria nimekuja kwenu kwa mara kwanza kabisa nikiomba msaada wenu wa kisheri kuhusu halmashauri inapo pitisha sheria ya kudai kodi kwa wakulima wadogo wa vijijini...