Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Naomba msaada wa kisheria, je nina uwezo wa kisheria kama mtu binafsi kufufua kesi ya ugaidi iliyo kuwa inamkabili Freeman Mbowe, Mohamed Ling'wenya, Halfan Bwire na Adam Kasekwa ambayo...
1 Reactions
10 Replies
722 Views
Unapoandaa affidavit au kiapo unatakiwa kuapa juu ya mambo ambayo yako kwenye ufahamu wako binafsi tu. Soma Order XIX rule 3(1) Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (CPC) inasema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana JF, Naomba kwa wataalamu wa sheria hasa zile za mikataba ya ajira mnisaidie hili swali,Je,ni utaratibu wa kisheria mtu kufanyiwa probation mara mbili yaani miezi mitatu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
MWENENDO WA KESI YA WAKILI FATMA KARUME NA ILIPOFIKIA Habari, leo nakuletea UPDATE YA KESI YA WAKILI FATMA KARUME a.k.a. Shangazi, jinsi ilivyoanza, jinsi alivyosimamishwa Uwakili kwa muda na...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama inavyojieleza Mfano upo kwenye ndoa na mke wako lakini kutokana na masuala mbalimbali ya kimaisha hasa ajira mnaishi mbalimbali kwa muda mrefu na mwisho kuwa na migogoro ya hapa na pale...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu! Kuna mtu amejenga nyumba yake mahali tulipomzika baba yetu mzazi na alikuwa anajua kuwa mahali pale amezikwa mtu na alishiriki wakati akiwa kijana kumzika mzee wetu...
3 Reactions
84 Replies
2K Views
Habari wadau humu JF,naomba kupata ushauri kutoka kwenu kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic ambapo huu ni mwezi sasa toka niambiwe kesi imeisha na msababisha ajali kukutwa na hatia...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Najua humu ndani pia wapo makauzu waliovurugwa na wenye stress zao juu ya ugumu wa maisha hasa ukizingatia kama magari aina ya mashangingi, ma cruiser, na ma fortuna STN Yananunuliwa kila...
0 Reactions
7 Replies
490 Views
Nawasalimia kwa jina la JMT. Kunahitajika wakili au mwanasheria wa mambo yanayohusu mazingira, Kibaha, mkoa wa pwani. Kuna kiwanda kipya kabisa, kimejegwa ubavu kwa ubavu na makazi ya watu...
1 Reactions
1 Replies
349 Views
Naomba msaad juu ya aina za uraia km zilivyo ainishwa katik(Tanzania Citizenship Act, No. 6 of 1995 and its Regulations of1997) maa nashindwa kumjua yupi mtanzania wa kuzaliwa kisheria na yup...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
USIOMBE YAKUKUTE WE KAPUKU SEGEDANC YAKO Korti yamwachia mtoto wa Keenja na Happiness Katabazi MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana ilimwachiria huru mtoto wa mbunge wa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Je, mke wangu akiwa hai nikaandika wosia bila yeye kuweka saini kwenye wosia, wosia huo utakuwa halali au batili? Naomba case law inayoelezea scenario hiyo.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau naomba msaada wa ushauri wa kisheria. kabla ya utaratibu wa mashamba ya kijiji kipindi cha Nyerere tulikuwa tukimiliki mashamba makubwa huko kijijini kwetu msoma. baada ya utaratibu wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwezi Ulopita Nilinunua Nyumba 50M Kutoka kwa Mama Mmoja. Tuliandikishana kwa Mwanasheria, lakini kipindi tushafanya malipo na tunaelekea kusaini mkataba wa mauziano aliomba apewe siku 2/3 za...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Kesi hii iliripotiwa Tarehe 17 July, 2014. Mchungaji Christopher Mtikila amefungua kesi katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kumshitaki Askofu Mkuu wa Kanisa laAnglican Tanzania Dk. Valentino...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
Msaada wajuzi wa sheria. Nina kesi mahakamani ilikua zamu ya kutoa ushahidi upande wa (A) mlalamikaji kaleta shahidi ambae amesema uongo mahakamani na kala kiapo. Ushahidi wa yeye kusema uongo...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Naulizia, inakuwaje kisheria kama Mtuhumiwa amewasilisha hati ya ushahidi iliyoghushiwa, Mbali na kuikataa isitumike, Je naweza nikafungua Shauri jingine dhidi yake Kwa kughushi nyaraka?
0 Reactions
9 Replies
578 Views
Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
1 Reactions
1 Replies
418 Views
Inasemekana: Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99. Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…