Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nini maana yake ya -Mizimu... -Maraika... Na je, upi mwanzo wa -Maraika.... -Mizimu.. Nini tofauti ya -Mizimu.. -maraika Na je nini kazi ya -Mizimu -Maraika
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau! Ni watu wachache tu ndiyo wanaoelewa kwamba Wamisionari walichangia sana katika makuzi ya lugha ya Kiswahili has a Askofu Steer na John Krapf. Walipokuwa Mombasa mwaka 1844...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
TUKI wataalamu wa Kiswahili hii inawahusu. Hii misamiati inapaswa kubadilishwa ili kuendana na kasi ya mweshimiwa. 1. Mbunge....huyu awe ni mtu anayepaswa kuunga mkono serikali na ikulu kwa kila...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama ww mpenzi wa lugha ya kifaransa Ntakuletea jinsi ya kutumia kifaransa sanifu kwa kupitia Michezo nyepesi na Masuala mbalimbali. Leo nakuletea Verb "ETRE" Badilisha Makalima haya yawe...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
White ni Me au ke? Mi naona linawapendeza wanaume
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za kazi wakuu na poleni Kwa majukumu ya kila siku ndugu zanguni. Husika na kichwa cha habari hapo juu najua kila mmoja wetu anataka kujua Ni kauli Gani??? Kauli hii "Tumemuhifadhi mahala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1.Tulimponda fulani,kwamba anacheka cheka Kila siku yu angani,na madege anaruka. 2.Leo katua jamani,yule alofikirika Ukiuleta utani,ni fimbo anakunyuka. 3.Miguu katia ndani,myaka mitatu yafika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.Nanena kimtang'ata,kwa lugha ya kiswahili Nachanganya kimvita,nikikanyaga pedeli Inuka ninakuita,ewe mwana wa mjoli Swali tena nauliza,soma chini kibwagizo. 2.Kisa una ndugu wengi,pwani le ya...
0 Reactions
2 Replies
890 Views
The Awful Dentist He read medicine, Specialising in the tooth, And graduated, with honours With new thesis To cure the aching malady. "Our teeth shall be all right!" People chanted, welcoming his...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
1.Kwenye mwanzo wa tufani,si mvua huchonyota Akili huwa ni fani,na dhamira kutusuta Nalo dimba la zamani,huonekana kashata Pwagu hupata pwaguzi,mchama ago hanyele. 2. Bubu yule hukumbukwa,jinsi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafamilia wa lugha tafadharini naomba kujulishwa maana ya maneno ya Casa de Oracion kwa kiswahili yana maanisha nini? Ntashukuru kwa msaada wenu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka kujua kingereza bila kwenda English course nifanyejee??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wana JMF wenangu natumai tumeamka salama Niende moja kwa moja kwenye point naomba kufahamu app nzuri za kujifunzia kiingereza na kifaransa kwa wepesi zaidi iwe za online au za...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
1.Mwenye wivu jiandae,mkola nagawa kamba Donda dugu sikomae,niwakomoe manamba Wachutame na wakae,nikiwasomesha namba Nitajaribu kughani,asopenda ajinyonge. 2.Daima siwezi acha,jambo...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Kwa kipindi cha nyuma,michezo ya jukwaani ilikuwa ni sehemu ya Sanaa ilopata umaarufu sana nchini kutokana na jinsi michezo hiyo ilivyokuwa na nguvu kubwa ya kuiteka jamii ya watanzania katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu.. Baada ya mapambano ya maneno wiki iliyopita kuna upande mmoja dudubaya a.k.a Konkie anawatuhumu watu flani kuwa na mashoga na ukaibuka upande mwingine pia ukimtuhumu dudubaya kuwa ni shoga...
1 Reactions
37 Replies
18K Views
A young boy aged between 24-27 years in average insulted a young female school teacher. The incident happened around 7:10 am when the teacher tried to show her ID as per RC Makonda initiative to...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Naomba kusaidiwa hili swali la kiswahili kwa anayejua. SWALI......Athari hasi na chanya za fasihi simulizi katika kufaraguza fasihi andishi ya kiswahili ya hivi leo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UTENZI WA VITA VYA KAGERA NA ANGUKO LA IDD AMINI DADA. Amani iwe juu yenu ndugu wapendwa. Vita vya Kagera ni moja katika ya vita maarufu katika historia ya Afrika na historia ya Tanzania.. Ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…