Clark boots JF-Expert Member Jun 5, 2017 6,399 5,522 Nov 3, 2018 #4 Mkuu, me najua kwa kingereza tu kuwa kinaitwa " Yoke" So kwa maelezo zaidi tuwasubiri watu kutuka SUA watatueleza zaidi...
Mkuu, me najua kwa kingereza tu kuwa kinaitwa " Yoke" So kwa maelezo zaidi tuwasubiri watu kutuka SUA watatueleza zaidi...
T the glassroof JF-Expert Member Apr 25, 2017 279 422 Nov 3, 2018 #6 Joki na vinavyoshikilia shingo ya ng'ombe vinaitwa segea
C chibungulu Member Sep 16, 2018 37 22 Nov 3, 2018 #7 Prince Mhando said: Pilau Click to expand... Pilau ni chakula, ila jembe la kukokotwa na wanyama km ng'ombe linaitwa plau
Prince Mhando said: Pilau Click to expand... Pilau ni chakula, ila jembe la kukokotwa na wanyama km ng'ombe linaitwa plau