Wakuu,
Naombeni msaada wenu kwenye hili na ikiwezekana toeni ushauri wenu kwa huyu Bwn. Shigongo, kwangu kama nimepituka na Watunzi wengine wa hadithi na sinema za Kitanzania na kuzipa majina ya...
Kwanza habari zenu wadau.
Tukaribishane japo kwa pilau.
weekend ndio hii msijenisahau
Leo Naunga mkono tuu hoja zenu.
Siungi uongo bali ukweli tupu
Wacha tule vyetu hatutaki -----
Usidhani nami...
Napenda kuuliza kuna tofauti gani kati ya neno "marehemu" na "hayati"? Najua yote yana tumika kumtaja mtu aliye fariki ila juzi nikamsikia mtu ana sema aki taka angependwa kuitwa hayati na si...
Mapfue na ngima woose walekapo mkomu
Nereo mpfiagho namrasa lo inu walandesiyepfo.
Kupfa iho mboko, wakokiparambuya, na wakokiparamri, wawekundanyi na wakoiolandore na wakokio landenga...
1.Tanzania nchi yetu, yenye amani na upendo,
umoja mshikamano, watu wenye ukarimu,
ewe ni mwema mlezi, daima tutakulinda,
Tutunza amali zetu, nchi yetu istawi.
2.Jambo la kusikitisha ...
BLACKZOMBIE: LIFE WASTED "Hi, I am a zombie, a blackzombie. Here are the facts I gathered from a life wasted."Im this kinda zombie with silly feelings,I feel nothing. I spend day and night...
Jaman natafuta mwalimu wa kunifundisha kuongea kispania, maana kuna mtu ananisumbua kila nikimwambia aongee kingereza anasema awezi saa naômba kama kunamwalimu an PM please!
We are freelance translators and native speakers of Swahili language who learned English at tender ages. We have been exposed to both cultures fairly well and we know and understand as well as...
Nisaidieni kujua iwapo neno HAYATI ni sahihi kulitumia kwa kumaanisha neno Marehemu. Kama kusema Hayati Malima au hayati Kambona. Na kama si mahala pake hapo ni wapi neno HAYATI linaweza kutumika...
katika lugha ya Kiingereza, kuna neno lnaandikwa na kutamkwa 'FOOD SECURITY'. katika baadhi ya magazetii, kwa kiswahili neno hili linatafsiriwa kama USALAMA wa CHAKULA
Je, ni kweli tuna maanisha...
Wana JF naomba mnisaidie huwa naangalia KBC TV na katika taarifa zao wanakipindi wanakiita Taarifa za Magatuzi,Nimejaribu kufuatilia ili hata nibahatishe lakini sipati picha.Nini maana ya...