Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX...
Miaka ya 1970 katika chuo cha kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) kulikuwa kuna Professor mmoja maarufu aliefahamika kwa jina la Walter Rodney alikuwa ni raia wa Guyana nchi inayopatikana bara la...
Kama ungebahatika kutembelea jiji la Cairo hususani siku ya tarehe moja mwezi wa saba mwaka 2007, ungegundua ni siku na mwezi ambapo hali ya hewa ilikuwa ni joto kali sana kiasi kwamba muda...
Kwakua tumetoka kwenye wiki ya mama duniani, niliona si vibaya nikifululiza habari za wanawake katika thread zangu. Kabla wenzangu hawajanijia juu, leo naomba niwape ya dada huyu. Usiongee maneno...
Chanzo hiki kinatoa kumbukumbu za kihistoria** kuhusu taasisi ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika iliyoanzishwa mwaka 1933 kwa lengo la kuendeleza elimu na maslahi ya Waislamu. Mwandishi...
Mnamo Sikukuu ya Krismasi mwaka 1971, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Wilbert Kleruu, aliuawa na mkulima Said Mwamwindi huko Isimani.
Tukio hilo lilitokea wakati wa utekelezaji wa sera za serikali...
JENGO AL JAMIATUL ISLAMMIYA FI TANGANYIKA LINAONDOLEWA MADIRISHA NA MILANGO
Nimeletewa picha hizo hapo chini za jengo la Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika picha zikionyesha madirisha na milango...
Kisi hiki cha Kim Philby ni moja ya visa vya kusisimua zaidi katika historia ya ujasusi Duniani. Ni simulizi ya mtu aliyefika kileleni mwa idara ya siri ya Uingereza huku akiwa anaitumikia adui...
Huenda ikulu ya Dar es Salaam ilijengwa na Wajerumani, kwenye empty space, na baada ya kuharibiwa kabisa, kwenye vita ya kwanza ya dunia, ikajengwa tena na Waingereza.
Wajerumani walikuwa taifa...
Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today
Botha speech 1985
THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W...
Watanzania tupige kura kuhusu huu muungano au maagano
laZima muungano uwepo Kwa mahitaji ya wananchi
Andika NDIYO kama unaupenda muungano
Andika HAPANA kama huitaji Muungano
Ni miaka 55 imepita toka Mnyalukolo, Said Abdallah Siulanga Mwamwindi, ammimimie risasi na kumuua aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Iringa, marehemu Dr. WILBERT KLERUU. Mauaji hayo yaliyokea tarehe...
KUNA HISTORIA KUBWA YA MWALIMU NYERERE NDANI YA SOKO LA KARIAKOO
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelifungua Soko la Kariakoo jana Jumapili tarehe 8 February 2026.
Nimepata siku za nyuma...
Brussels, Ubelgiji. Tarehe 3 Novemba 1995.
Yupo Mwanadiplomasia mmoja wa Hamas siku hii alikuwa anatoka kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa uliokuwa ukijadili kuhusu wakimbizi wa Palestina.
Sasa...
5
Historia ya dunia imejaa matukio makubwa yaliyobadilisha namna wanadamu wanavyoishi, kufikiri, kufanya biashara na kuendesha jamii. Baadhi ya matukio hayo hayakuathiri nchi moja pekee, bali...
let’s stop playing, man. Let’s look at this whole f*cking situation intellectually lakini kwa lugha ya kitaani kabisa. Hii nchi inapelekwa kipumbavu na hawa dumb ass motherf*ckers kiasi kwamba...