Jukwaa la Historia

On JF:

Habari wadau, Nilipokuwa Tanga, niliona mnara wa saa uliojengwa kipindi cha ukoloni wa Kijerumani (1901) na umekarabatiwa mwaka 2022 na watu watatu; 1. NGO inayoitwa Tanga Development...
3 Reactions
3 Replies
643 Views
Israel ni sehemu ya Afrika na watu waliokuwa wanaishi pale ni waafrika. Namaanisha kwamba Africa ya leo imepatikana kwa kutenganishwa na mfereji uliochimbwa na mwanadamu Suezi Canal. Hivyo basi...
3 Reactions
5 Replies
558 Views
Wanaume Wengi wa Kabila la Bubal Linalopatikana Somalia Wana Mabusha (Kutuna kwa Korodani). Inaelezwa Kuwa Hali Hio Huwatokea Kutokana na Imani Yao ya Kulamba Damu Mbichi ya Hedhi ya Ng'ombe. Hii...
1 Reactions
4 Replies
482 Views
Wadau ningependa kujua chanzo halisi cha kifo cha waziri mkuu wa zamani hayati Sokoine kwa vile alipofariki nilikua bado sijazaliwa, nimejaribu kupitia baadhi ya makala mbali mbali naona hazielezi...
17 Reactions
302 Replies
122K Views
MSOMI WETU WA KARNE. Kijiji cha Katoma kipo Mkoani Kagera.Tarehe 28/09/1942 alizaliwa kijana mmoja mtanashati wa mwonekano na kichwani.Huyu ni Justinian Rweyemamu, mmoja wa wasomi hodari kuwahi...
17 Reactions
78 Replies
19K Views
JINA LAKE KAMILI NI JUMBE SHOMARI JAHAZI Picha hiyo hapo chini ni picha maarufu sana. Katikati ni Abushiri bin Salim Al Harith, wa kwanza kushoto ni Jahazi na kulia ni Makanda bin Mwinyimkuu...
1 Reactions
2 Replies
718 Views
SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika. Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
UHURU WA ZANZIBAR 1963 Picha hiyo hapo chini ni ya rafiki yangu wa utotoni Mohamed Kitunguu. Tumekutana juzi na sote tulifurahi kuonana. Miaka mingi imepita. Tulijuana sote tukiwa na umri wa...
1 Reactions
2 Replies
520 Views
MUASISI WA TANU TANGA: HAMISI HERI AYEMBA Tanga iliibuka mwaka 1955 na kukabiliana na serikali ya kikoloni kupitia juhudi binafsi za kikundi cha wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la...
1 Reactions
0 Replies
514 Views
SHAJARA YA MWANAMZIZIMA: DK BUSHIRI TAMIM NIMJUAYE Na Alhaji Abdallah Tambaza ALHAJI Dkt. Bushiri Salum Tamim (74), aliyefariki Ijumaa Mei 18, mwaka huu, kwenye Hospitali ya Taifa, Muhimbili...
0 Reactions
7 Replies
910 Views
HUSSEIN SIYOVELWA ATEMBELEA MAKTABA Leo Maktaba imetembelewa na Hussein Siyovelwa mtoto wa Peter Said Siyovelwa mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika. Hussein ameandika miswada miwili ambayo...
1 Reactions
4 Replies
749 Views
Wabanyole, jamii ya kipekee kutoka ufalme wa kale wa Uganda, hawakufanya tu upasuaji wa C-Section bali walikamilisha sanaa hiyo muda mrefu kabla ya Wazungu. Wakati Wazungu walikuwa na lengo kuu la...
0 Reactions
3 Replies
537 Views
Nadhani ushawahi kusikia neno "Pirates". kuna movie moja maarufu inaitwa "pirates of the Caribbean". Pirates ni Maharamia, hiyo movie kwa kiswahili tungeweza kusema "Maharamia wa Caribbean"...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Hii ni historia ya Tanganyika ambayo inasimuliwa na Sheikh Zuberi bin Yahya. Anasema Sheikh Zuberi( pay attention) Seyyid Majjid, Sultan wa Zanzibar kuanzia Octobet 19,1856 mpaka October 7...
1 Reactions
9 Replies
798 Views
Baharini kuna mali nyingi sana sema tu inakuwa ngumu sana kuzifikia. Kuna stori ya jamaa mmoja aitwaye Edward Teach ama Blackbeard kama alivyokuwa akijulikana. Mchizi huyu alizaliwa mwaka 1680 na...
6 Reactions
8 Replies
719 Views
Tunathibitisha dhamire yetu ya dhati ye kuimarisha amani, usalama na ustawi wa Afrika Ni dhamira ya Tanzania kukuza amani na usalama barani Afrika ili kuweka mazingira stahiki ya kujenga ustawi...
1 Reactions
1 Replies
422 Views
NAWAKUMBUKA SANA Kwenye picha hapo chini wa kwanza kulia ni Sheikh Abdallah Muhsin, Sheikh Ali Muhsin, Mwandishi na Farouk Abdullah. Muscat mwaka wa 1999. Nimeweka kitabu cha kumbukumbu ya...
1 Reactions
11 Replies
730 Views
BURIANI MZEE KITWANA SELEMANI KONDO (1930 - 2017) NA DK. RAMADHANI KITWANA DAU Mohamed Said May 30, 2017 Kitwana Selemani Kondo katika ujana BURIANI MZEE KITWANA KONDO Ramadhani K Dau Siku...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
KATIKATI YA KIPINDI TANESCO WANAZIMA Mahojiano yamepamba moto camera zina "roll," mara paa umeme umekatika. Kiza totorooo... Jicho la camera kama jicho la binadamu halioni kwenye kiza. Mfikirie...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Back
Top Bottom