VIJANA WA KAZI KAZINI: ONA STORIES NA HISTORIA YA BIBI TITI MOHAMED
Nimealikwa kwenye studio nyingi ndani na nje ya Tanzania kuzungumza na wakati mwingine kwa mahijiano maalum.
Kwa kiasi changu...
Mkataba wa Lemera
Gazeti la Mwanahalisi la tar. 11 Feb. mwaka 2009, katika Makuu yake yenye kichwa cha habari, Mkataba wa Kuuza Kongo lilijikiu katika anga za Virunga. likiclcza kile kiilichoitwa...
Shikamooni wanaJamiiForum wote.
Leo napenda kuwaletea historia ya huyu mwanamama anayeitwa Letti Kidanka sijui ni jina lake halisi au
Alikuwa mchawi maarufu sana na pia mtawala huko maeneo ya...
Huyu ni mmoja kati ya makamanda walioongoza vita vya Kagera lakini siyo maarufu ktk vyombo vyetu vya habari, lakini ukisoma VITABU mbalimbali vinavyohusu VITA VYA KAGERA utagundua kwamba alikuwa...
Wakuu,
Nimezaliwa katika kizazi hiki cha dotcom na nikaikuta Tanzania ikiwa hai, ndani ya jamii ya nchi yetu hii nikakuta kuna muingiliano mkubwa wenye bashasha miongoni mwa wananchi. Ndani ya...
KITWANA ZANGIRA (ZINGARO) WA BIBI MAMA KITWANA WA MTAA WA MCHIKICHI
Hii picha hapo chini inamuonyesha Mwalimu Nyerere ni kutoka katika clip ya documentary ya Bibi Titi.
Kulia ni Kitwana Zangira...
♋Ibrahim Traoré amekuwa kiongozi anayevutia vijana wengi barani Afrika kutokana na nafasi yake kama mfano wa mabadiliko ya kimfumo, hususan kwa nchi zinazokumbwa na changamoto za utawala, ukoloni...
Mnamo tarehe 12 Agosti 2000, nyambizi ya K-141 Kursk, nyambizi ya manowari ya Kirusi ya darasa la Oscar II, ilizama katika Bahari ya Barents, na kuua watu wote 118 waliokuwemo ndani.
Ajali hiyo...
Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore.
Oktoba 23, 1966.
Wananchi,
Jana tumefukuza...
SIKU MOJA NA AHMED RAJAB MWALIMU WANGU NAIROBI
Ahmed Rajab akinipa kazi si haba nyingine ''investigative'' na hapa akitaka sana kusoma ubongo wangu na fikra zangu kwa jambo fulani hizo hazichapwi...
Kisa cha mchezo wa kanyaboya ulioingia mjini miaka ya themanin nakitu mjini Dar na hususani sehemu za Kariakoo.
Kwanza ni lazima niweke wazi maana ya neno hilo lilipotokea na kwanini...
MTU WA AJABU ALIYEKUWA NA PASI YA KUSAFIRIA YA NCHI ISIYOJULIKANA
Katika historia ya visa vya ajabu na vya kutatanisha, kuna simulizi moja inayozua mshangao mkubwa – kisa cha mtu aliyesemekana...
Amani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina...
MTU WA AJABU ALIYEDAI KUTOKA NCHI ISIYOJULIKANA – LAXARIA
Katika historia ya visa vya ajabu vinavyohusiana na watu wanaotokea katika maeneo yasiyojulikana, kuna kisa cha kushangaza cha mtu...
Jamani hii story niliwahi kuisikia kipindi cha Mtikila kuhusu Dola ya Bahima lakini historia yake hadi leo sijaifahamu ilianza mwaka gani, ni nani aliianzisha lakini pia ni wapi inapopatikana...
Jana, katika pitapita zangu nikifuatilia yanayoendelea Goma, nikakutana na maoni yenye kutaja kitabu kiitwacho Enduring Lies. Nikavutiwa nacho na nikaamua kukitafuta, bahati nzuri nikakipata...
Anaandika Mo Mlimwengu
Ukisikia la mgambo ujue tayari kuna jambo, ni simanzi na majonzi kubwa kwa Namibia na bara la Afrika kuondokewa na mwanamapinduzi halisi. Sam Nojuma alizaliwa mnamo 12 Mei...
BURIANI MWALIMU AHMED RAJAB ULITOSOMESHA WENGI VIJANA KWA KALAMU NA SAUTI
Naanzia wapi kumueleza Ahmed Rajab?
Najiuliza.
Nianze nyumbani kwa rafiki na ndugu yangu Ahmed Maulid Mwanadiplomasia...