BIBI TITI MOHAMMED SALUM MANDANGWA
Shujaa Aliyeibeba TANU, Akasalitiwa na Taifa
Na MALEKOGJ
“Wanawake amkeni! Tokeni majumbani tupambane pamoja na wanaume mpaka uhuru upatikane... Msiogope!”
—...
Sehemu ya kwanza.
Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Tanzania ilikuwa ikujulikana kama Tanganyika.
Tanzania ni moja kati ya nchi kadhaa duniani zenye kuhifadhi wakimbizi na kundi kubwa...
In the film ''Kagera War,'' produced by Tanzania Film Company (TFC) made soon after the defeat of Idd Amin of Uganda, there is a scene in which Mwalimu Nyerere is shown with John Walden at the...
Mtu Aliyetawala Biashara ya Dawa za Kulevya...
Alilelewa huko Mombasa na wazazi wa kiPakistani, akianza kama mjasiriamali halali, akiendesha kampuni ya usafirishaji Akasha Transporters, ikiingiza...
Kutoka kwa mwanajamiforums Shwari ambaye aliweka nakala ya kitabu chenye kuelezea mikasa ya hawa wapigania uhuru na harakati za ukombozi wa Africa.
Nkrumah alihisi kuwa alikuwa amemtumia Sekou...
USIKU WA NGUGI WA THIONG'O ALLIANCE FRANCAISE
Leo wachapaji vitabu mashuhuri Mkuki na Nyota walimwadhimisha nguli wa manguli katika fasihi ya Afrika Ngugi wa Thiong'o katika Ukumbi wa Alliace...
Mnamo miaka ya 1970s , wanafunzi wa UDSM waliandamana Dar es salaam International Airport kupinga siasa za ukoloni wa Kifaransa .
Maandamano hayo yalikuwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa...
Hawa askari kama baadhi wapo, najua wamezeeka sasa, hawana nguvu tena na wanajutia hadi mwisho wa maisha yao hapa duniani.
Inawezekana kutokana na tamaa za mali, kujipendekeza kwa wakubwa...
Takwimu kutoka kamisheni ya haki za binadamu Tanzania inaonesha kuwa kati ya watu 2,478 waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kufikia mwaka 2010, ni watu 232 waliotekelezewa hukumu hiyo ambayo ni sawa...
TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA MZEE MUSTAFA SONGAMBELE (1925 – 2025)
Mzee Mustafa Songambele Katika Uzinduzi wa Nyumba ya Kumbukumbu ya Julius Nyerere
Juma hili ajabu sana ubongo wangu umekuwa...
KUTOKA JAMES NGUGI HADI NGUGI WA THIONG’O
TOFAUTI YA ‘’JAMES’’ NA ‘’THIONG’O’’
Wengi wa kizazi kile ambacho Ngugi alianza kuandika tulimfahamu kwa jina la James Ngugi. Inawezekana sana wengi...
Kwa miaka mingi tumekuwa tukiwatukuza wazungu kwa vitu vya ajabu ambavyo ukikaa na kutafakari utagundua kuwa na upuuzi mtupu.
Mi huwa najiuliza kuwa Columbus alipoenda America hakukuta watu...
Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda.
#Sehemu #ya - 1
Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda...
Bingwa wa propaganda nchini Ujerumani wakati wa utawala wa Adolf Hitler alikuwa Joseph Goebbels. Alikuwa Waziri wa Propaganda wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi 1945.
Goebbels alihusika na...
Imepita miaka 35. Nimekumbuka kitu kimoja. Mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo...
Wanajamii forums, naomba niwasalimie tu kwa ufupi. Habari zenu wote? Nimatumaini yangu kuwa wote muwazima kama hamjatekwa na serikali ya watekaji.
Leo nataka niseme kitu kimoja ambacho...
George Washington - 1st President of the United States
By Comred Mbwana Allyamtu.
George Washington, President of U.S. (National Archives)
As the first...
Aprili 11, 1909: Karibu familia 66 za Kiyahudi zilikusanyika kwenye matuta ya mchanga kaskazini mwa Yaffa ili kushiriki katika kugawanya shamba la ekari 12-tukio ambalo liliashiria kuanzishwa kwa...