Jukwaa la Historia

On JF:

Hii nimeitoa Wikipedia, Mavita aliyoanzisha Mlm.Nyerere! List of wars involving Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
What about the Lady Hope story? Did Darwin repent of his evolution views and become Christian on his deathbed? "What shall I speak about?" I asked. "Christ Jesus!" Charles Darwin replied in a...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani kwa wachagaa waliokuwepo moshi hebu mtukumbushe vita ya ukoo kati ya wachaga wa wamachame na wachaga kibosho.....kipindi hiko nasikia wachaga wa kibosho walikuwa wanajiita wayahudi na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kariu kwenye ukurasa wa maswali na majibu kuhusu Kitabu cha 'The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The Untold Story of the Muslim Struggles Against British Colonialism in...
3 Reactions
195 Replies
26K Views
Binafsi nilipata mshawasha wa kusoma kitabu hiki baada ya kuelezwa kwamba Mtei amezungumzia pia mgongano wake wa kifikra na Mwalim Nyerere uliosababisha kujiuzulu kwake nafasi ya Uwaziri wa...
4 Reactions
48 Replies
10K Views
Wana JF, Katika kipindi cha uongozi wa Nyerere nilikuwa sijazaliwa kwa hio nimesikia kupita watu mbalimbali kuwa Mwalimu Nyerere alikuwa hampenid kabisa Malechela na ilifika kipindi cha uchaguzi...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Ndugu Msomaji, Fuatilia hapa In Sha Allah tutajitahidi kuweka mambo yanayosibu nchi yetu toka tupate uhuru mwaka 1961... Ninaandika kitabu kuhusu siasa za Tanzania na jinsi dini inavyotawala...
5 Reactions
110 Replies
11K Views
WAKATI Tanganyika inapata uhuru mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alitangaza vita dhidi ya maadui watatu yaani Ujinga, Maradhi, na Umaskini. Hawa ni maadui ambao kwa wakati ule Mwalimu Nyerere aliwaita...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 9-11.04.2014 mijadala mbali mbali ilifanyika ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mijadala yote ilijikita katika kujadili umuhimu wa ukombozi wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana-JF, Naomba msaada kutambulisha ni tokeo gani katika picha hii. Naikadhiria kuwa 1964 lakini inaweza kuwa kabla au baada ya hapo. Nawatambua Oscar Kambona, Rashid Kawawa, na Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
  • Closed
Asalaam aleykum Al-Akh, Sheikh Mohammed Said kwa muda mrefu tumekuwa tukijadiliana kwa marefu na mapana kuhusu historia ya Tanzania. Ukaleta kitabu cha life and times of Abdulwahid Sykes watu...
9 Reactions
232 Replies
22K Views
Hi Wanajamvi Wakuu ninaomba kueleweshwa-Hiki kitu kinachoitwa historia ni kitu gani hasa?kwanini katika maisha ya mwanadamu au Taifa kuna kitu kinaitwa historia?Je katika uhalisia wake historia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The government announced a contest for a new name for the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on 31st July 1964. It said the new name should give the sense of unity and be easy to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana Jf, Kuna jambo linatatiza sana hapa kijiweni kuhusu muungano wetu.Kuna jamaa ka rise mada hapa kwamba sababu kubwa ya CCM na Serikali kung'ng'ania muungano ni kwamba kwa mujibu...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Pemba ni kisiwa mashuhuri kilicho katika bahari ya Hindi kihistoria Pemba haikua Afrika huko Karen za nyuma zilopita kwa mujibu ya tarehe kisiwa hichi kilianza kuishi with tokea wakati wa Nabii...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
  • Closed
Nchini Tanzania kabila la wachaga kwa asilimia kubwa lina uhusiano na asili ya uyahudi. kuna koo kubwa kama Nkya.,Mushi,kileo,Lema,Munisi,Munishi,kirenga., ambao ancestor wake au baba yao Mweri...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
God don't love Africa and Africans! Olúfémi Táíwò 2014-03-12, Issue 669 http://pambazuka.org/en/category/comment/90929 I hate to break it to you, my fellow Africans-continental and...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Nimezaliwa nasikia Nyerere mkombozi,Nyerere baba wa Tanzani baba wa taifa,sawa Kuna neno zito sana linalotumika eti "Kumuenzi" baba wa taifa kwa hofu ya nenoclenyewe viongozi wamefika hatua...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Rais Karume aliyekuwa rais wa kwanza wa Zanzibar, Ni watanzania wote tunamkumbuka leo yaan bara na visiwan, Watanzania leo tumepunzika tukiadhimisha sikukuu hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom