Hawa watu wanapotea kabisa, waliobaki ni wazee wakiwa wanahesabu siku zao tu, lakini wamefanya makubwa mno hasa kwenye upande wa uandishi wenye kufikirisha na fasihi ya ndani mno, maandiko yao...
"Thrilla in Manilla" was a 1975 boxing match between two boxing legends: Mohammed Ali and Joe Frazier. To me, these men were great fighters of that time and remain great fighters of all times in...
NANI HAJAWAHI KUUIMBA WIMBO HUU?
Kiongozi: Chama chetu cha mapinduzi cha jenga nchi!
Waitikiaji: chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi*2
Oho Chaaam - Ahaaaa
Ohoo Chaama- Chajenga nchiiii
Hotuba ndefu niliyowahi kuisikiliza Tanzania ni ile ya Raisi Samora Machel aliyohutubia mwaka 1975 uwanja wa Samora Machel pale Iringa mjini alipofika kutoa shukrani kwa Tanzania kuhifadhi na...
mh! tazama historia ya waafrika 2metoka wapi? na thamani yetu ni nini ikiwa 2! ukipigania haki yako au ya watu basi cha mbembe utakiona basi pitia kusoma kitabu cha j'na hilo hapo juu.
Watu wengi wanapenda ulaji wa kuku waliopikwa kwa staili hii pasi na kujua asili yake.
Mzee Robert Makange (1928-1999)
Mzee huyu wengi hawamfahamu ila wanafahamu chakula chake alichokiasisi...
Ni muda mrefu nimekuwa nikitakujua maisha ya baba yetu wa Taifa na familia yake kwa ujumla, na hii ni kutokana na nilivyotokea kumpenda!. Siku moja nikizungumza na mzee mmoja juu ya wanafamilia...
Mwalimu alisema yafuatayo, tukatae rushwa,umaskini,udini na ukabila.
Namuomba Rais Jakaya Kikwete atueleze udini katika uchaguzi wa 2010 ulikuwaje?
Kwani mwaka 2005 aliposhinda kwa zaidi ya 80%...
Chama cha maccm arusha mjini wameishindwa chadema kwa kila namna matokeo yake wamekuwa wakiigiza kama zekomed wamekuwa wakitumia kila namna kumchafua rais wetu wa arusha mjini mp godbless lema...
wakuu naombeni mjuze hivi hizi hela na mali ambazo wagermany walizifukia chini zilikuwa na maana gani na zilikuwa za ina gani kwa mfano nasikia kulikuwa na moja inatwa rupire
nimeuliza hivi...
TAARIFA KWA UMMA WA WATANZANIA 2009.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawatangazia wanachama wote wa CHADEMA na umma wa Watanzania wapenda Maendeleo kuwa Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa...
Waungwana wa jukwaa letu tamu,ninapenda nifahamishwe vizuri historia ya mwanasiasa huyu John Mnyika mbunge wa Ubungo jijini Dar-es-salaam. Tangu alipozaliwa.shule na maisha kwa ujumla. Ahsante.
Habar wanahistoria!
Wanahistoria, Nauliza Je kunaukweli kuhusu hili la mtu ukitaka kuingia mji wa mwadui huko shinyanga ni lazima uwe na kibali tena unaomba kabla ya ya siku kazaa ili...
kesho viwanja vya tanganyika parkers kunatarajia kafanyika mkutano mkubwa wa chama cha wananchi cuf mnaombwa kuhudhuria wananchi wote bila kukosa.HAKI SAWA KWA WOTE
ngangari ngangari...
Baba wa Taifa,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(kushoto) akibadilishana na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume(kulia)
On April 26, 1964, The Father of Nation Mwalimu Julius Nyerere and the...
"I am not a politician but a professional soldier. I am, therefore, a man of few words and I have been brief through my professional career."
Idi Amin, president of Uganda, from his first speech...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.