Jukwaa la Historia

On JF:

WAKATI Tanganyika inapata uhuru mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alitangaza vita dhidi ya maadui watatu yaani Ujinga, Maradhi, na Umaskini. Hawa ni maadui ambao kwa wakati ule Mwalimu Nyerere aliwaita...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 9-11.04.2014 mijadala mbali mbali ilifanyika ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mijadala yote ilijikita katika kujadili umuhimu wa ukombozi wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana-JF, Naomba msaada kutambulisha ni tokeo gani katika picha hii. Naikadhiria kuwa 1964 lakini inaweza kuwa kabla au baada ya hapo. Nawatambua Oscar Kambona, Rashid Kawawa, na Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
  • Closed
Asalaam aleykum Al-Akh, Sheikh Mohammed Said kwa muda mrefu tumekuwa tukijadiliana kwa marefu na mapana kuhusu historia ya Tanzania. Ukaleta kitabu cha life and times of Abdulwahid Sykes watu...
9 Reactions
232 Replies
22K Views
Hi Wanajamvi Wakuu ninaomba kueleweshwa-Hiki kitu kinachoitwa historia ni kitu gani hasa?kwanini katika maisha ya mwanadamu au Taifa kuna kitu kinaitwa historia?Je katika uhalisia wake historia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The government announced a contest for a new name for the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on 31st July 1964. It said the new name should give the sense of unity and be easy to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana Jf, Kuna jambo linatatiza sana hapa kijiweni kuhusu muungano wetu.Kuna jamaa ka rise mada hapa kwamba sababu kubwa ya CCM na Serikali kung'ng'ania muungano ni kwamba kwa mujibu...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Pemba ni kisiwa mashuhuri kilicho katika bahari ya Hindi kihistoria Pemba haikua Afrika huko Karen za nyuma zilopita kwa mujibu ya tarehe kisiwa hichi kilianza kuishi with tokea wakati wa Nabii...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
  • Closed
Nchini Tanzania kabila la wachaga kwa asilimia kubwa lina uhusiano na asili ya uyahudi. kuna koo kubwa kama Nkya.,Mushi,kileo,Lema,Munisi,Munishi,kirenga., ambao ancestor wake au baba yao Mweri...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
God don't love Africa and Africans! Olúfémi Táíwò 2014-03-12, Issue 669 http://pambazuka.org/en/category/comment/90929 I hate to break it to you, my fellow Africans-continental and...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Nimezaliwa nasikia Nyerere mkombozi,Nyerere baba wa Tanzani baba wa taifa,sawa Kuna neno zito sana linalotumika eti "Kumuenzi" baba wa taifa kwa hofu ya nenoclenyewe viongozi wamefika hatua...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Rais Karume aliyekuwa rais wa kwanza wa Zanzibar, Ni watanzania wote tunamkumbuka leo yaan bara na visiwan, Watanzania leo tumepunzika tukiadhimisha sikukuu hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kuna tetesi kuwa baadhi ya sehemu za Tanganyika ni milki za Zanzibar na ndio maana tunaogopa kuvunja muungano na moja ya maeneo yanayoongelewa ni jiji la Dar es Salaam na baadhi ya miji...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
DKT SALIM AHMED SALIM NDIYE KIJANA MDOGO ZAIDI KUWAHI KUTEULIWA KUWA BALOZI WA TANZANIA. Mara baada ya kuundwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo mwaka 1964, Mambo ya Nje ni moja ya...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Mwl Nyerere atakumbukwa kwa mengi kama ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika, Amani na upendo, lugha ya kiswahili, umoja wa kitaifa, ujamaa, ukombozi wa ardhi ya Tanzania toka kwa nduli Amin nk...
2 Reactions
114 Replies
9K Views
An archaeologist checks an unearthed coffin at Xilin Gol league museum in Xilin Hot, North China's Inner Mongolia autonomous region, March 7, 2014. A 1,500-year-old coffin, excavated from...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kwanza tujue mtumwa kuwa mzuri kuliko master wake ni kawaida. Mtumwa kupendwa na mke wa master wake ni kawaida ref. mwanzo 39:7 Pili tutambue ushoga ulianza kwa whites, ila kwa sasa ndio...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia nimepata majibu mengi nimeshindwa kujua lipi ni sahihi anayejua chanzo hasa anisaidie ntashukuru
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hatimae Mh Samuel Sitta amechaguliwa Kuwa m/kiti wa Bunge la Katiba, je utendaji wake utaweza kufanana ule wakati alipokuwa Spika?Sababu hakuweza kutetea nafasi yake kwenye kinyang'anyiro cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom