Wenzetu wametoka mbali
Na ukiwangalia sahvi walivyopiga hatua,just imagine
Hapo ni odense mji wa tatu kwa ukubwa Denmark old century 1850 walikuwa wanaishi hivyo,ila wenzetu wanajuwa kutunza...
TUJIKUMBUSHE KITABU HIKI BAADA YA MWAKA MMOJA KUPITA "BARAZA YA MAJESTIC..."
Niliombwa kufanya pitio la kitabu hiki Zanzibar ndani ya ukumbi si mbali na Majestic.
Hili halikufanyika kwa...
Nasoma soma historia ya Wazaramo. Nimekutana na hiki kisa.
Basi baada ya Vita Kuu ya Pili Serikali iliongeza kujenga skuli za vijijini katika sehemu kadha za Uzaramo.
Lakini sehemu nyingine...
MTIHANI MKUBWA WA UPINZANI: VIONGOZI KUSALITI VYAMA VYAO
Nimeingia katika mitaa ya Maktaba naangalia picha za nyuma mbali na karibu za wanasiasa wengi waliokamatwa na jicho la camera yangu...
The Slave Trader Who Became a SIave
Ayuba Diallo was born in 1701 in what is now Senegal 🇸🇳. His father was a sIave trader, and Diallo helped him with the business as he grew older. However...
Katika falme za kale, kulikuwa na desturi za kutisha ambapo wasaidizi wa karibu au wafuasi walizikwa pamoja na mfalme aliyefariki. Hii haikuwa tu kwa sababu ya uaminifu, bali pia ilikuwa na maana...
NDAGU, KITALA NA ADHABU YA MCHAWI
NDAGU maana yake ni ‘ramli'. Kwa desturi, baada ya kuondoa matanga, ndugu waliofiwa huenda kwa mganga wa ramli ili awajulishe sababu ya kifo kilichotokea. Ziko...
Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa...
KITABU CHA MAISHA YA JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rafiki yangu kanipigia simu kutoka duka la vitabu la Mkuki na Nyota, Samora Avenue ananitaarifu kuwa kipo kitabu cha maisha ya Jakaya Mrisho Kikwete...
MTAA WA HAMZA MWAPACHU KWALE COUNTY, KENYA
Haya kanihadithia Juma Mwapachu uso kwa macho.
Juma Mwapachu anasema alipokuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki alikutana na Ali Mwakwere...
Dunia imepoa ndio unavoweza kusema.
Dunia imepita watu wa maana ambao tutawakukumbuka daima.
Mtu kama Joseph Kony au Mungu wa vita, pale zaire ya zaman na DRC ya sasa alipita Mobutu sese seko...
Kuna mtu alisoma makala hiyo hapo chini niliyomtaja Baba wa Taifa
Mwalimu Julius Nyerere kuwa mwaka wa 1956 alishiriki dua shambani
kwa Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo, Mtoni yeye akahangaika...
HISTORIA YA KIGOMA UJIJI NA ASILI YA KABILA LA WAHA
Wakati miji mingine ikipata majina kutokana na ujio wa wageni, kuna baadhi ya miji ilipata majina yake kutokana na Waafrika wenyewe. Na kutaja...
VITA YA WANGONI NA WANDENDEULE NA ASILI YA WANDENDEULE.
Kabla ya kujua habari ya vita kati ya Wangoni na Wandendeule yafaa tujue kwanza historia fupi juu ya kabila la Wandendeule ambao walikuwa...
KUMBUKUMBU...(NOSTALGIA, MEMORIES IN THE ROCKING CHAIRS OF TAKAUNGU
Nadhani hii naweka hapa atainielewa rafiki yangu Said George.
Kumbukumbu za udogoni sana.
Leo asubuhi hapa Takaungu kuna...
HILLARY CLINTON; MWANAMKE JASIRI, ASIYEKATA TAMAA, MPENDA VITA NA BINADAMU WA KWANZA MWANAMKE KUGOMBEA URAISI MAREKANI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA
Wednesday-28/12/2022
Marangu Kilimanjaro...
Wapenda kandanda na tamthilia za kutafsiri kutokea king’amuzi cha Azam Tv mmejiandaaje na bei mpya za vifurushi?
Tetesi ni kuwa bei mpya zinakuja mwezi Septemba.
Jaji Frank Caprio alikuwa jaji mashuhuri wa Mahakama ya Manispaa ya Providence, Rhode Island, Marekani, ambaye alipata umaarufu duniani kupitia kipindi chake cha televisheni Caught in Providence...