Wanamajlis,
Mara nyingi nimekuwa kila nikieleza historia ya TANU na harakati za kudai uhuru nimekuwa nikimtaja Abdulwahid Sykes na Kariakoo Market ambako alikuwa akifanya kazi kama Market Master...
NINI HATMA YA UINGEREZA?
Na: Comred Mbwana Allyamtu
Duniani huwezi kuzungumzia kile kinachoitwa "ushawishi wa madola makuu duniani" ukaacha kuitaja Uingereza hii ni kutokana na heshima...
Kule China hii leo ndege yao ya kwanza ya abiria imefanyiwa majaribio ikiwa na abiria 70 je unadhani uthubutu wa China katika sekta ya anga itatingisha makampuni makubwa kama Boeing na Airbus...
Wafuasi wa chadema sasa wanataka mabadiliko ndani ya chama chao. Fukuto la chini kwa chini zinadai kuwa wanazi wa chadema wasiyotoka mikoa ya kaskazini wamechoshwa na udikteta wa freeman mbowe...
Siku kama ya leo 03/04/2012 miaka 834 iliyopita sawa na tarehe 11 Jamadul Awwal mwaka 597 Hijiria ya mwaka wa kiislamu, alizaliwa Khoja Nasruddin Tusi, mwanafalsafa, mwanahisabati, mnajimu na...
Ukimsikiliza Msandawe, mkoa wa Dodoma, anavoongea hatofautiani sana na Mxhosa wa Afrika Kusini.
Kwa kuwa Wasandawe hapa kwetu ni wachache kulinganisha na Waxhosa wa Afrika Kusini, inawezekana...
By Bernd Debusmann
(Bernd Debusmann is a Reuters columnist. The opinions expressed are his own)
Capitalism as we used to know it is on its deathbed. And those who predicted that the old brand...
Tusibaguane
JIFUNZE HAPA
1:WAISLAM WA SYRIA na WAALMENIA WA UTURUKI
Chini ya utawala dhalimu wa OTTOMAN uturuki waliamua nchi nzima iwe ya waturuki na ya kiislamu na kufyeka makabila yote na...
Nmesikia katika taarifa ya habari kwenye idhaa ya kiswahili ya Ujerumani (Deutsche welle ) kuwa ni leo rasmi ndio Ujerumani imekubali officially kuwa serikali yao ilifanya mauaji hayo ya kimbari...
Traveled and trade in America 1311 - 181 years before Columbus. He never claim to discover America. [Because] OVERTAKING & COLONIES IS NOT AFRICAN BUSINESS.
Mwaka 1977 raisi Samora alilivamia kanisa katoliki mjini maputo akingia ndani ya kanisa akishika nyundo na kuibomoa altare kwa mikono yake miwili mpaka ikapasuka pasuka nyang'a nyang'a huku...
Wadau kuelekea kuadhimisha miaka 17 ya kifo chake aliyekuwa Spika wa Bunge wa Kwanza wa Bunge la Jamuhuri Ya Muungano ya Tanzania tuna yapi ya kumuelezea ? na yapi ya kujifunza hasa kaatika siasa...
Nelson Mandela daima alitajwa kama 'kiongozi mkongwe wa dunia' ambaye alikuwa na ujuzi wa kutatua matatizo ya kidunia. Sifa yake ya madili mema ilimfanya kuonekama kama mrithi wa Mahatma Gandhi...
Zama zimepita wengi wetu hatufaham kua pemba ilikua na pesa yake ambayo ikiitwa Pemba rupes ambayo ilikua na nembo ya karafuu mbili na ilitumika kuanzia 1940 chini ya utawala wa sultan Sayyed...
Binafisi naamini hapa duniani kila mtu anajambo alilowahi kulifanya na kupelekea jamii yake kubaki ikimkumbuka daima.
Jambo linaweza kuwa jema au baya,lakini bado atakumbukwa kwa hilo.binafsi kwa...
Published on 5 Sep 2013
Visit of Sir Richard Turnbull, Governor, to Lindi Town Council and to open the Government Indian Secondary School.
Source: Adrian Roden
Kaskazini mwa nchi yetu upo mlima maarufu sana wa Kilimanjaro. Chini ya milki ya mlima huo aliishi Mangi maarufu sana aliyeitwa Mandara ambapo jina lake la pili ni Rindi.
Mandara alianza kuwa...