Kuibuka kwa Marekani kama taifa kubwa Duniani

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,246
1,643
a81462f4a522a03ce64e9997cd9bc1e0.jpg
Uiengereza kipindi cha nyuma enzi za ukoloni ilikua ni Taifa lenye nguvu na Taifa kubwa!!Lakini cha ajabu baada ya kuisha vita ya 2! Ya dunia Marekani likawa Taifa kubwa dunian kote kiuchumi na mambo mengine ilihali ni nchi iliyotawaliwa na Uhuru 1917! Nini siri ya hii kitu
Wengine wanasema imeandikwa kwenye VITABU VYA dini kua ilitabiriwa na litatawala miaka 1000!!
Wenye dodoso watujuze!
Au kama unajua taifa lolote lilitowahi tawala dunia nyuma pia karibu
91aa8b3a671315388580500e0813dbb9.jpg
 
Mkuu swali lako lina makosa mengi sana. Lakini ni swali zuri. Aulizae si mjinga.

Kwanza turekebishe some facts in your question. MArekani ilipata uhuru mwaka 1776. Imeshakuwa huru zaidi ya miaka 200.

Ukitaka kujua ilikuwaje Marekani ikatawala dunia, itatawala miaka mingapi na ityaanguka lini soma kitabu kinaitwa The Next 100 Years. Humu wameelezea miaka 100 iliyopit na miaka 100 ijayo.

Ukimaliza kusoma kitabu hicho soma kitabu kinaitwa The Fate of Empires. Hapa utajua Marekani itatawala Dunia kwa miaka mingapi na itaanza kuanguka lini.

Mpaka hapo utakuwa umepata majibu yote Boss wangu.
 
Icho kitabu kinapatikana wapi
 
Kipindi cha nyuma Russia ilikua the leading Power
 
Mkuu swali lako lina makosa mengi sana. Lakini ni swali zuri. Aulizae si mjinga.

Kwanza turekebishe some facts in your question. MArekani ilipata uhuru mwaka 1776. Imeshakuwa huru zaidi ya miaka 200.

Ukitaka kujua ilikuwaje Marekani ikatawala dunia, itatawala miaka mingapi na ityaanguka lini soma kitabu kinaitwa The Next 100 Years. Humu wameelezea miaka 100 iliyopit na miaka 100 ijayo.

Ukimaliza kusoma kitabu hicho soma kitabu kinaitwa The Fate of Empires. Hapa utajua Marekani itatawala Dunia kwa miaka mingapi na itaanza kuanguka lini.

Mpaka hapo utakuwa umepata majibu yote Boss wangu.

Mkuu kwanini usitupe dodoso japo kidogo ndugu....maana sisi wengine hatuna kabisa acces na vitabu.....

Twafadhali mkuu tunaitaka hiyo elimu....ukipata muda njoo ushare nasi elimu hiyo.....

Wanafunzi wako tumeshakaa mkao wa kua na kalamu na daftari....
 
Back
Top Bottom