Wojtek ni mnyama dubu ambaye alinunuliwa na wanajeshi wa poland mwaka 1942 nchini IRAN akiwa bado mdogo sana.
Alilelewa na jeshi kisha kusajiliwa kama mwanajeshi.
Aliwasaidia wanajeshi wenzake...
TUKIO laKushambuliwa kwa kujaribu kuuawa kwa Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa wanasheria Tanganyika na Mwanasheria Mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA), yanarudisha...
Wakati nafanya utafiti wa kitabu cha Abdul Sykes nilikutana na matokeo manne ambayo wananchi walijikusanya na kufanya visomo au dua kujikinga na dhulma za ukoloni wa Waingereza.
Katika matukio...
MJUE GAIUS JULIUS CAESAR MWASISI WA DOLA HIMAYA NA MILIKI KUU YA ROMA AMBAYE JINA LAKE “CAESAR” LILIFANYWA CHEO KILICHOTUMIKA BAADAE KWA VIONGOZI WAKUU WA DOLA HIYO IKIWA NI PAMOJA NA KUTANGAZWA...
Hivi niulize kwanza, sisi ni wanachama wa jumuia ya Afrika Mashariki tulikubaliana tukasaini Mikataba ikiwemo ya Soko la pamoja na Uhuru wa wakaazi kusafiri sasa nauliza swali nikienda Kenya...
Hapa ndio chimbuko la Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT) ukanda wa kusini ambayo hapo awali ilifahamika kama synod ya konde.
Wamisionari walifika katika fukwe za ziwa Nyasa wakitokea...
wadau kuna taarifa kuwa mwanaharakati maarufu na mpiganaji wa siasa za kikomunist Che Guevara aliwahi kufanya ziara hapa tz miaka ya sitini tena zaidi ya mara moja. mwenye taarifa kamili juu ya...
Wakuu nimeona huu walaka kwenye tovuti ya BBC ikanifanya nijiulize kidogo. Hivyo sisi Waafrika tunajitambuaje au tunajitambulishaje. Soma hii nakala uone jinsi wenzetu wa Kameruni wanavyo uana kwa...
1) TATIZO la Vijana wetu wa KIZAZI KIPYA kutojua Mambo Muhimu kuhusiana na HISTORIA YA NCHI YETU ni tatizo kubwa.
2) Kwa MAONI YANGU, KAZI YA ZIADA inatakiwa ifanyike KUIELIMISHA JAMII ambayo...
Nakumbuka miaka ya themanini hakuna sabuni, hakuna mafuta ya taa, hakuna petrol kwa mgao, hakuna dawa ya meno , hakuna beer bar? Ukikamatwa na usd kesi kubwa sana , au sabuni ya kenya au dawa ya...
Oct 26, 2017
by Cindy Wooden, Catholic News Service
Vatican
20171026T0936-0011-CNS-POPE-REFORMATION-SCOTLAND.jpg
Pope Francis accepts a gift from the Rev. Derek Browning, moderator of the general...
HUYU NDIE “FIELD MARSHAL ALHAJI DR, IDI AMIN NDUL DADA” RAIS WA TATU WA UGANDA AMBAYE UTAWALA WAKE UMEGUBIKWA NA UTATA.
Na, Comred Mbwana Allyamtu.
Sunday -29/10/2017.
Idi Amini alichukua...
Nimekuwa najiuliza siku nyingi sana kwanini taifa hili siku zote linatamkwa kuwa ni taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi duniani na hata kijeshi.
Hata ukiangalia ugunduzi wa mambo mengi ya kisayani...
Katika kuelekea siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl J.K.NYERERE nimeandaa historia fupi ya maisha ya Mwalimu!Tafadhali sikiliza sehemu hii ya kwanza,usisite kutoa maoni na ushauri pia...
Aliyewahi kuwa rais wa Liberia Charles D.B King aliyezaliwa tarehe 12 March 1875 – na kufariki 4 September 1961) ndiye mpaka sasa anayeshikilia rekodi ya dunia katika vitabu vya kuweka kumbukumbu...
Gavana wa Benki Kuu, huyu ndiye Kiongozi pekee unaweza hata kusema ana nguvu sawa na Rais wa JMTZ, ingawaje anateuliwa na Rais wa JMTZ lkn ana nguvu zisizo onekana, huko kwingine kote Rais wa JMTZ...
Wadau hapo zamani za kale kulikuwa na shirika la ndege East African Airlines. Ilikuwa sehemu ya East African Community. Waliokuwa wanakmiliki ni Tanzania, Kenya na Uganda.
Mwaka 1971, familia...
Rolihlahla Mandela was born into the Madiba clan in Mvezo, Transkei, on July 18, 1918, to Nonqaphi Nosekeni and Nkosi Mphakanyiswa Gadla Mandela, principal counsellor to the Acting King of the...
Mama Sofia Kawawa alikuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), wakati huo ikiwa jumuia inayowaunganisha wanawake chini ya chama kilichoshika hatamu. Mama Sofia alikuwa mwenyekiti wa...