These are famous historical African artefacts stolen during colonialism

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
1,971
45
Hivi mabaki ya yule mjusi mkubwa duniani Dinosaurs aliyechukuliwa na wajerumani Lindi mwaka 1909-1913 wakayapeleka kwao yamesharudishwa nchini?
Huu ni urithi wetu angeletwa tungeingiza kipato kiasi flani maana ni mali yetu.
 
Attachments

 • Dinosaurs.PNG
  File size
  762.7 KB
  Views
  107

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
1,971
45
Hivi haya madude yalikuwepo kweli
Yalikuwepo bro miaka millioni 243 iliyopita kwa maana hiyo binadamu hakuwepo.Ushahidi upo kutokana na mabaki(fossils)yanayochimbwa.Mabaki yake yaani mifupa tu unaweza jaza tela la scania na ukiunganisha upate Umbo unaweza pata urefu wa ghorofa moja urefu wake.Hiyo ni science bro ila upande wa dini tuuache kama ulivo binadamu uwepo wake duniani sio zaidi ya miaka 6000 iliyopita.Uzuri wa Science kuna proofs ila dini ni kuamini.Bro ya Kaisari mpe Kaisari na ya mungu mpe MUNGU.Ona picha ya mifupa iliyogunduliwa wakaunganisha
 
Attachments

 • Dinosaurs2.PNG
  File size
  681 KB
  Views
  114

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,499
2,000
Yalikuwepo bro miaka millioni 243 iliyopita kwa maana hiyo binadamu hakuwepo.Ushahidi upo kutokana na mabaki(fossils)yanayochimbwa.Mabaki yake yaani mifupa tu unaweza jaza tela la scania na ukiunganisha upate Umbo unaweza pata urefu wa ghorofa moja urefu wake.Hiyo ni science bro ila upande wa dini tuuache kama ulivo binadamu uwepo wake duniani sio zaidi ya miaka 6000 iliyopita.Uzuri wa Science kuna proofs ila dini ni kuamini.Bro ya Kaisari mpe Kaisari na ya mungu mpe MUNGU.Ona picha ya mifupa iliyogunduliwa wakaunganisha
Mkuu kwani dunian (Earth) ina miaka mingap
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,336
2,000
Wanaweza warudishia hata kesho je mna sehemu ya kuyaweka!?.. Wawajengee na sehemu za kuyahifadhi!?.. Mna mitambo ya kuyahifadhi kwenye hali yake!?.. Hayawekwi kwenye boksi la mbao lenye kioo kwa juu yale mabaki!.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom