Abeid Karume aliuawa kwa kipigwa Risasi Tarehe 7/4/1972
Risasi nane zilitolewa mwilini kwake mwili wake ulipofikishwa kwenye Hospitali ya V. I. Lemin, mjini Unguja kwa uchunguzi,
Sawa na idadi ya...
John F Kennedy JFK anafahamika kama miongoni mwa marais wa Marekani waliokaa madarakani muda mchache zaidi
Sasa leo tunawajadili viongozi waliokaa madarakani(walioyatumikia madaraka) kwa muda...
Wakuu,
Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana.
Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955...
Nawapongeza sana Taifa Stars walionyimwa haki lakini wakashikilia amani. Pamoja na kuchezewa rafu na refa ambaye kawanyima haki wazi wazi, kwa sababu wanatoka kwenye kisiwa cha amani...
Historia ni kama albamu ya zamani; hakuna kitu kipya, ni picha zinazojirudia. Hata kukamatwa kwa Nicolás Maduro na Marekani wala si suala geni kihivyo.
Kurasa zote za habari hivi sasa...
Wakutu ni Kabila linalopatikana mpakani mwa mkoa wa Morogoro na Pwani. Kwa mkoa wa Morogoro wanapatilana katika wilaya ya morogoro ( Morogoro vijijini ) katika vijiji vya Dutumi, Mvua, kisaki...
Hili ni moja ya kabila ambalo linapatikana hapa hapa Tanzania hasa upande wa mashariki.
Japo habari na historia la kabila hili zilishaandikwa, hasa juu ya asili ya neno Uzaramo au Wazaramo. Kwa...
Kwenye kituo kimoja cha treni ndani mji wa Rotterdam, alionekana mwanaume mmoja akiwa amevalia miwani nyeusi ya jua huku amekamata begi aina ya briefcase mikononi mwake. Bwana huyu kama...
Amefumbua macho kuhusu wanaharakati wa mwanzo
Kabla ya maandishi yake:
Majina kama Abdulwahid Sykes, Ally Kleist Sykes, na African Association yalikuwa hayajulikani kwa umma
Historia ya uhuru...
THE LONG ROAD TO DAWN.
Uganda's Story, Told in Shadows and Fire
PART 1
Uganda’s independence did not arrive as a sudden miracle. It was shaped in silence, suffering and stubborn hope. Hope...
Nilikuwa katika maktaba ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), maarufu kama Archbishop Mgulunde Learning Resource Center, mwanzoni mwa Novemba, nilipokutana na kitabu cha zamani...
1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu
2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote...
Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916
Mazishi
Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba...
Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika.
Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya...
MAGEUZI KATIKA MTAALA WA UFUNDISHAJI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mwanafunzi wangu mmoja:
''Leo rafiki yangu mmoja ambaye ni muhitimu wa Shahada...
Wakuu, katika pitapita zangu kwenye vitabu vya history nilikuja kukutana na huu wimbo wetu pendwa tuliouimba shule za msingi na hata sasa hivi watoto wanaendelea kufundishwa wimbo wa Ana Ana do...
Vitabu vya historia vinatuambia kuwa kabla ya Hiroshima pamoja na Nagasaki kupigwa na pigo basi walikuwa wameshachapika vya kutosha, yaani kabla ya zile bomu mbili kushushwa kulikuwa na hali mbaya...