Jukwaa la Historia

On JF:

February 1936 mwili wa mwanaume Giuseppe Veraldi maarufu kama Pepe ulipatikana chini ya daraja huko Catanzaro Italia, ilionekana kuwa aliruka kutoka kwenye daraja na kichwa chake kujibamiza kwenye...
7 Reactions
8 Replies
3K Views
ADAM SHAFI KATIMIZA MIAKA 80: KALAMU YA SHAFI KATIKA KUIELEZA ZANZIBAR Nilikuwa nimeanza kukisoma kitabu ‘’Haini,’’ cha Shafi Adam Shafi na haikunichukua muda kutambua kuwa mikononi mwangu nina...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
WATAWA WA MAPINDUZI - The Revolutionary Nuns Mabinti VIPANGA na WAZURI wa sura waliokua wakichaguliwa na GADAFFI mwenyewe. Licha ya UREMBO na AKILI nyingi, Mabinti hawa walikuwa wamepikwa KUUA...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
HISTORIA YA ALI MSHAM NA JULIUS NYERERE 1954 Kuna picha ya Mtaa wa Jaribu Magomeni iliyowekewa maelezo kuwa ni Mtaa wa Congo mwaka wa 1920. Picha iko hapo chini. Huu si Mtaa wa Congo wala si...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Sikiliza kikao cha Nansio, Ukerewe kumwingiza Julius Nyerere katika uongozi wa TAA 1953.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za weekend wakuu? Natumaini mko salama, kwa ambao hawako sawa Mungu awafanyie wepesi mrudi katika khali zenu nzuri za kila siku. Ombi langu kwenu ni kwamba miaka kadhaa nyuma nilisoma...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
WASIFU WA JULIUS NYERERE: MWALIMU NYERERE NDANI YA OFISI YA TANU ISIYOKUWA NA SAMANI 1954 Nasoma siku za mwanzo za TANU kabla Mwalimu hajajiuzulu kazi ya ualimu. Waandishi wa kitabu wanasema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ibrahim Kaduma akizungumza katika kongamano la Mwalimu Nyerere Mwalimu Nyerere Memorial Academy Mwalimu Nyerere Memorial Academy zamani ikijulikana kama Chuo Cha Kivukoni jana tarehe 13 April...
6 Reactions
3 Replies
3K Views
Dale Carnegie aliwahi kusema kuwa *“If you want to Conquer Fear, Don’t Stay Home and Think About It, Go out and Get Busy* (Ukitaka kuishinda Hofu usikae nyumbani na kuendelea kuitafakari, toka na...
15 Reactions
24 Replies
4K Views
JAMES BRENNAN NA MAPENZI YAKE NA HISTORIA YA TANZANIA “The Secret Lives of Dennis Phombeah: Decolonization, the Cold War, and African Political Intelligence, 1953–1974” James R. Brennan...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
WASIFU WA JULIUS NYERERE: SUALA LA KATIBA YA TANU NA BENDERA YA UINGEREZA KUPEPEA TANGANYIKA Katika kitabu cha maisha ya Mwalimu Nyerere nimekutana na suala la bendera ya Muingereza, Union Jack...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo siku ya Eid El Fitr asubuhi nimejiinamia na mengi katika maisha yangu ya utoto yakanijia nikikumbuka ilivyokuwa asubuhi ya Eid wakati wetu. Nimemkumbuka kinyozi wetu jina lake Muingereza...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Historia ya vita ya Majimaji imekuwa ikielezwa kwa namna mbalimbali. Kila mmoja anasimulia kwa namna alivyosikia. Wananchi wengi wa ukanda wa kusini walikimbia vita na kuishi sehemu tofauti...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Uchaguzi wa Urais Zanzibar uko njiani unakuja. Historia ya uchaguzi visiwani inazidi kupambika na kuwa ya kugusa hisia ya kila mwanafunzi wa somo la historia ya siasa za Zanzibar na Afrika. Dkt...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
MAZUNGUMZO NA MAGGID MJENGWA WASIFU WA JULIUS NYERERE: MAMA SAKINA BI CHIKU BINT SAID KISUSA WANAWAKE KUTOKA UANI HADI UWANJANI MNAZI MMOJA KUDAI UHURU Mara ya mwisho kumuona Mama Sakina, yaani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Moyo wangu umejawa na simanzi, macho yamefunga kwa huzuni, uso umesawajika kwa haya ninayoyasoma yaliyotendwa na binadamu kwa binadamu wenzao. Romeo Dallaire ameelezea mambo kwa mtazamo wake...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu Wana Jamii Forum, Humu Ndani Tume Bahatika Kuwa Na Mdau Echolima, Alishiliki Vita Ya Uganda, Kama Unaswali Tunaweza Tukamuuliza, Kama Unajibu Bara~bara Zaidi Unaweza Ukamsaidia Pia Kujibu...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
ASILI YA JINA TANGANYIKA. Leo 20:30pm 15/06/2020 Ni furaha yetu sote kuwa tuliobarikiwa kuishi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Sisi wananchi wengi na raia wa nchi hii tumeishi zaidi...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Due to the nature of the Transatlantic Slave Trade and the practices of American slave owners, enslaved Africans brought to the U.S. lost much of their connection to the West African cultures from...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Burundi nchi ndogo iliopo katika Ukanda wa Afrika Mashariki, ilikaliwa na wakoloni wa Kibeligiji na kujikuta ikipita kwenye jangwa la harubu na misukosuko mingi ikiwamo ya umwagaji wa damu...
3 Reactions
32 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…