Ndugu zangu baada ya kitabu hiki "The Torch on Kilimanjaro," kuhujumiwa nikajituliza.
OUP wakanirudishia kwa masikitiko makubwa mswada wangu mpya niliowapa wakaniambia kuwa inaelekea sipendeki...
MJEE/MZEE WA MUSOMA.
Katika wilaya ya Musoma kuna eneo mashuhuri kwa uvuvi na shughuli za kilimo linaitwa Majita,hili ni eneo linalokaliwa na Wajita kwa sehemu kubwa na Wakwaya ambao pia ni jamii...
Hakuna kitu hunipa furaha kama niandikapo historia ya mtu kisha akatokea msomaji akaniandikia kuniambia huyo uliyemtaja ni babu au bibi yangu.
Hivi karibuni niliandikiwa na Adam Ahmed kuhusu...
''THE TORCH ON KILIMANJARO'' KITABU CHA SHULE ZA MSINGI KINACHOELEZA HISTORIA YA MWALIMU NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
OUP walialika waandishi wa Afrika ya Mashariki kupeleka...
Miaka zaidi ya 643 iliyopita, katika mji wa Aachen huko Ujerumani watu walianza kumiminika mitaani kutoka kwenye majumba yao na kuanza kusaka rhumba kwa kila aina ya staili. Wengine walicheza...
ALIPOTOKA MAALIM HADI KUFIKA HAPA
Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka wa 1995 ulijaa hamasa nyingi kwa chama cha CUF kwa namna ya pekee hasa Zanzibar.
Nimeeleza hapa nini kilitokea baada ya...
IJUE HISTORIA YA VATICAN
Vatikani
Mji wa Vatikani ni dola-mji lenye eneo lakilomita za mraba 0,44 tu. Hivyo ni nchi ndogo kuliko zote duniani. Pande zote inazungukwa na Italia.
Dola la Mji wa...
Kuna mtu kaniuliza ni nani Iddi Faiz Mafungo?
Maswali kwangu yanakuwa mengi mno kuhusu historia ya TANU na Mwalimu Julius Nyerere kiasi naelemewa.
Muulizaji angeweza kuingia Google angemsoma...
Wakuu,
Yapata takribani miaka 36 tangu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari huko Wami-Dakawa akitokea Dodoma baada ya kuahirisha bunge tarehe 12/4/1984 akielekea Jijini...
Mnara huu upo kaskazini mashariki mwa Uwanja wa Taifa, ni mnara wa kumbukumbu ya marubani wawili wa ndege vita ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambao ndege yao ilianguka wakati wa maonyesho ya...
ATHMANI SALUM MATENGA MWANA TANU WA TAWU LA ALI MSHAM
Mzee Athumani Salum Matenga hivi sasa umri wake unakisiwa kufikia miaka 90.
Anasema alikuwa mwanakamati wa tawi la TANU lililoanzishwa na...
J. EDGAR HOOVER MKURUGENZI WA FBI NA "FILE" LA SIRI KUBWA
J. Edgar Hoover ndiye Mkurugenzi wa kwanza wa FBI na alikikalia kiti kwa nusu karne.
Lilikuwa jitu la mikasa likitisha na kuogopewa na...
KITABU HIKI NI ''MASTERPIECE'' JOHARI - ''KANZU YA UKUBWA'' RIWAYA ALIYOANDIKA HAFIDH KIDO
Kitabu hiki ni kitabu mihumu sana katika uandishi wa lugha ya Kiswahili.
Maisha yangu toka udogoni ni...
BURIANI CAPTAIN MALIKI
Dr. Ramadhani Kitwana Dau
Jumatano tarehe 11 Novemba 2020 ni siku ambayo soka la Tanzania limepatwa na pigo kubwa kwa kuondokewa na mmoja wa watu waliohifadhi kumbukumbu...
‘’SISI NI WAYAHUDI’’ (THE BOY IN STRIPPED PYJAMAS)
Hiki ni kitabu kilichoandikwa na John Boyne na kikafanywa filamu.
Hii ni hadith katika mambo ya kweli kuhusu kijana wa miaka tisa Bruno ambae...
Rais Omar Bongo wa Gabon ni Rais anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa Rais aliyeongoza muda mrefu zaidi duniani. Rais huyo aliongoza Gabon kwa miaka 42 tangu Desemba 2, 1967 hadi alipofariki Juni...
BARAZANI
Na Ahmed Rajab
SIKU moja, siku yenyewe hasa nimeisahau,lakini ilikuwa Juni mwaka 1973, nilijikuta ndani ya lifti iliyojaa watu kwenye jengo la Bush House, katikati ya jiji la London...
SAFARI YA NYERERE SUMBAWANGA KAMA ALIVYONIHADITHIA ABDALLAH SAID KASSONGO 1987
TANU Youth League ya Tabora chini ya uongozi wa Abdallah Said Kassongo ilikuja kuwa tawi hodari sana na lenye...
Safe haven: Fatebenefratelli Hospital, Tiber Island, Rome, 2019.
Hospitali ya Fatebenefratelli Hospital, iliyopo katika Kisiwa cha Tiber huko Roma, nchini Italia ilikuwa na Wodi maalumu iliyojawa...
KISA CHA VIDKUN QUISLING
Naamini itawashangaza wengi nikiwaeleza kuwa jina la Jecha na jinsi Wazanzibari walivyoliingiza katika msamiati wao ni sawa na jina la Vidkun Quisling nalo pia...